Recent content by ima amosi

  1. I

    Hivi hii Serikali ya wangonge au Serikali ya wanyongeni?

    Sasa kwani unaogopa jela? itakuwa wanaku umber rutty Sio bure maana jinsi unavyo itaja jela mwanaume mzima unaogopa jela
  2. I

    Hivi hii Serikali ya wangonge au Serikali ya wanyongeni?

    Kwenye andiko langu umeona nimeizumzia kangomba? Wapi mkulima alipo lipwa acha kuleta siasa
  3. I

    Hivi hii Serikali ya wangonge au Serikali ya wanyongeni?

    Unapenda Sana maandazi umeyakumbuka[emoji16]
  4. I

    Hivi hii Serikali ya wangonge au Serikali ya wanyongeni?

    Habari zenu wa Tanzania wenzangu, Serikali baada ya kutangaza kununua korosho katika mikoa ilimayo korosho lakini kwa mkoa wa Mtwara hali imezidi kuwa mbaya wenye korosho tunalizwa vibaya maana tunachukuaga mikopo na kuaandaa mashamba lkn mpaka kufikia leo hakuna mkulima aliyeona pesa. Maisha...
Back
Top Bottom