Recent content by ILLICH

  1. ILLICH

    JamiiForums Tanzania Mada ya mkuu Stuxnet kuhusu nyomi za Samia Suluhu Hassan

    Hivi unaandika kwa ujasiri kabisa kwamba Ile mikutano ni wananchi wa maeneo husika wanakwenda kujaza ile mikutano?
  2. ILLICH

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

    Mwanzo alikuwa anapigwa vita Mbowe,hamkutegemea Lissu angegombea Uenyekiti,sasa hamuamini,mmehamishia mashambulizi kwake
  3. ILLICH

    JamiiForums Tanzania Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

    Wakati uumbaju,Biblia inasema Mungu alisema natufanye mtu Kwa mfano Kwa "mfano wetu"
  4. ILLICH

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Achana na hizi hekaya bana
  5. ILLICH

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Afrika Kusini inaweza kuwa na viongozi wa hovyo kama ilivyo Tanzania tu
  6. ILLICH

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Suala la Umeme sio dharura,tumeshakumbwa sana na ukame na migao mikali sana ya umeme,hii serikali haijifunzi,?kama 2013 walijielekeza kwenye miradi ya gesi,kwa nini wameishia njiani?miaka 60 ya uhuru bado tumeshindwa kuwa na umeme wa uhakika?Kenya au Uganda mbona hatukisikii hii kero kwa kiwango...
  7. ILLICH

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, nani anayekudanya namna hii kuhusu tatizo la kukatika kwa umeme nchini?

    Kwa hiyo unataka watu wakae kimya kwa sababu tatizo la Umeme ni miaka yote?
  8. ILLICH

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Acha hizi porojo mkuu,Rais Samia anaongoza serikali ya CCM,ina Ilani na inaendeshwa kwa kufuata mipango ya maendeleo ya miaka mitano mitano,haiwezekani Kila Rais akiingia aje na yake,utakuwa ni upuuzi sasa,nchi haina continuation ya miradi ya maendeleo?kilio cha umeme ni cha miaka mingi...
  9. ILLICH

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuna ‘crisis’ ya umeme, tunafanya ukarabati wa mashine

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaaah,leo tumeambiwa baada ya miezi 6
  10. ILLICH

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Mwaka 2013 tuliambiwa 2014 mgao utakuwa historia kwa sababu tunaingia uchumi wa gesi,tukakopa pesa na kujenga bomba la gesi kutoka Mtwara mpaka Dar es Salaam,halafu leo mnaleta simulizi zile zile tena?
  11. ILLICH

    JamiiForums Tanzania Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

    Umeandika nini aisee,?
  12. ILLICH

    JamiiForums Tanzania Suala la Wabunge 19 ni la kupuuzwa. Tunatolewa kwenye mijadala muhimu kwa Taifa

    Mambo ya Chadema usiingize ACT bana,ninyi pambaneni na mambo yenu,ACT inajijenga kivyake,acheni kuweweseka
  13. ILLICH

    JamiiForums Tanzania Swali: Je kwa yanayoendelea Bungeni unadhani kuna haja ya Freeman Mbowe kuendelea na vikao na Mwenyekiti wa CCM Rais Samia?

    Huo moto wa Katiba anauongeza vipi?hata hiyo mikutano inategemea hisani ya huyo Samia,akiipiga pini hakuna kitu mtafanya badala yake mtaishia kulalamika humu jamvini tu
  14. ILLICH

    JamiiForums Tanzania Swali: Je kwa yanayoendelea Bungeni unadhani kuna haja ya Freeman Mbowe kuendelea na vikao na Mwenyekiti wa CCM Rais Samia?

    Kwamba Chadema ndio wanaauthorize mikopo huko nje au?
Back
Top Bottom