Recent content by ilende

  1. I

    JamiiForums Tanzania WAKAZI WA DODOMATWANAHITAJIKA WATU WA KUFANYA MAKERTING

    Hakuna mambo ya kitapeli mkuu, biashara ya halali kabisa,product ni Car tracking device Kama ni muhitaji kuna namba ya simu imewekwa wasiliana upewe maelekezo zaidi.
  2. I

    JamiiForums Tanzania WAKAZI WA DODOMATWANAHITAJIKA WATU WA KUFANYA MAKERTING

    Asante mkuu kwa kupitia andiko,hata hiyo uliyosema ya kuzungusha vyombo vya kichina ni makerting vilevile japo sio bidhaa iliyo kusudiwa.
  3. I

    JamiiForums Tanzania WAKAZI WA DODOMATWANAHITAJIKA WATU WA KUFANYA MAKERTING

    Tunahitaji watu 10 wakazi wa Jiji la Dodoma wenye uwezo na bidii ya kufanya makerting.wasiliana kwa namba 0714521260.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mkoa wa Shinyanga

    Watakao fanya vizuri kwenye usaili watapewa mafunzo kabla ya kuanza kazi.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mkoa wa Shinyanga

    Ni taasisi ya fedha inayotoa mikopo ya pesa, soma maelezo vizuri kipato ni kwa kamisheni.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mkoa wa Shinyanga

    Eneo la kufanyia kazi ni mkoa wa Shinyanga na wilaya zake, kwa walio Shinyanga kimazingira na miundo mbinu ni rahisi zaidi kwa upande wao.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mkoa wa Shinyanga

    Kumradhi kwa namba kutokamilika ni 0714 521260 au 0688437719. Tuwasiliane kwa namba hizo.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mkoa wa Shinyanga

    Wanahitajika sales executives,kiwango cha chini cha elimu ni kidato cha 4 na wenye uzoefu kwenye sales field watafikiriwa kwanza kazi nikutoa mikopo,na kipato ni kwa commission.Mawasiliano 071421260.
Back
Top Bottom