Recent content by ilboru1995

  1. I

    Hawa Wawili ni Lazima Watatoka ama watatimuliwa CDM

    Kama kweli kaonewa MODS waache ile taarifa hapa tuichambue mwanzo mwisho ...
  2. I

    M4C-OPD: Ndani ya Manispaa ya Bukoba - Jan 26, 2014

    teh teh teh...eti wasema?...Bila Zitto watu wanajaa mikutanoni? Jibu ni YES... Bila Zitto ukombozi wa kweli unakaribia kupatikana...Kudos CDM ...
  3. I

    Rais Kikwete anguruma Davos kwenye mkutano wa WEFORUM 2014!

    I wish angejua kuwa mikutano kama hiyo huwa inawanufaisha zaidi wazungu ... Ni wakati muafaka sasa kwa JK arudi home awashirikishe wataalam wa ndani kutatua matatizo ya Watanzania badala ya kuendelea kuonekana kibaraka wa wazungu!....Simfagilii PK lakini namchukulia kama kiongozi aliejitambua na...
  4. I

    Said Issa Mohamed kwa msahafu azing'oa mbegu za udini kwa kutumia hadithi na aya.

    unaushahidi wa kutosha? upogo wao wa udini unaihusisha vipi na CDM?... kwanini usitoe mfano wa yule DC wa Igunga alielalamika na BAKWATA ikatoa tamko wakati yule DC anafahamika kuwa nyumbani kwake anafuga KITIMOTO?... CCM mnatumia udini na ukabila kuwagawa watanzania ...tambueni kuwa taratibu...
  5. I

    Said Issa Mohamed kwa msahafu azing'oa mbegu za udini kwa kutumia hadithi na aya.

    Umeandika mwenyewe ama umeandikiwa? kama ni wewe mwenyewe kudos kama umeandikiwa kudos! ... Rest assured kuwa ndani ya CDM kuna akina Said Issa Mohamed wengi sana... kufikia December 2014 mtatuelewa tu ... CCM hawana pa kukimbilia this time...
  6. I

    Said Issa Mohammed Anastahili Unaibu Katibu Mkuu CHADEMA

    Tayari ni Kiongozi wa CDM...Tatizo lako nini? Kule Ars nasikia Bi Fatu kalawitiwa na Jambazi Mjusi ... Sera zenu za kuwabagua watanzania kwa misingi ya udini na ukabila zimeanza kuwarudi sasa... Mlivyo ------- mmeacha kumteua Chami kuwa Waziri mnamteu Nchemba?! kisa Chami ni Mchagga!!!...ama...
  7. I

    Said Issa Mohammed Anastahili Unaibu Katibu Mkuu CHADEMA

    Wewe ndo unawachagulia CDM viongozi? kwani ukivurugwa lazima uonyeshe hisia zako! ZZK out so what? Mpokeeni huko kwenu kwa MAjangili na majambazi wenzio Mijusi, Matata et al... mtoa mada ameleta mapendekezo wewe unadandia dandia hoja kwa style ya Nchemba na Nape ...
  8. I

    PICHA: Mh. Mbowe akiwa beneti na Rais Kikwete

    Dume-jike unagubuu! Dah... kisharuala kina kuwasha au?...
  9. I

    Chadema yaiteka Ngara kwa kishindo

    Natamani katika mikutano hiyo wanachama wapya waandikishwe kwa wingi zaidi ...
  10. I

    RATIBA ya M4C - Operesheni Pamoja Daima: Kigoma, Rukwa, Mbeya, Manyara na Arusha

    Lazima atachana Msamba huyu Msaliti ... Hapo alipo dhamira inamsuta ile mbaya ...
  11. I

    RATIBA ya M4C - Operesheni Pamoja Daima: Kigoma, Rukwa, Mbeya, Manyara na Arusha

    Hawa jamaa huwa hawaaminiki ole wao wafanye kama walivyomfanya Saitoti kule Kenya ...
  12. I

    Prof. Baregu afichua siri ya usaliti CHADEMA. Chanzo ni kutoaminiana na kukosekana kwa uvumilivu

    Wewe umesomea UDSM? Mwaka gani? Kitivo kipi?... Wenzio sisi tumepita hapo UDSM lakini nilishtuka sana nilipogundua kuwa Open University wako vizuri kuliko hata chuo ambacho mimi nilikuwa nakiona ni bora kabisa hapa Tanzania... Kwa takwimu za zamani naweza nikakubaliana na wewe lakini kwa sasa...
  13. I

    Upotoshaji wa Matumizi ya helikopta za CHADEMA na elimu ya helikopta - gharama halisi

    Fair Ground mtuwekee matumizi ya CCM, CUF, NCCR, TLP, et al ili tulinganishe matumizi ya CDM kisha tupime output ya kila chama na kiasi cha ruzuku zinazotolewa! ... Tuanze na lile Jengo la Vijana lililouzwa, Gogo Hotel, Viwanja vya michezo, Majengo na ile Kampuni ya NASACO vimeiingizia CCM kiasi...
  14. I

    Prof. Baregu afichua siri ya usaliti CHADEMA. Chanzo ni kutoaminiana na kukosekana kwa uvumilivu

    Wewe elimu yako ya wapi? kata ipi? Kwa taarifa yako huyo Ben hata ZZK alikuwa anamatumaini nae makubwa sana baada ya kugundua kuwa jamaa yuko sawa upstairs ...unakumbuka ZZK alivyowaambia akina Mtela kuwa issue zinazohitaji strategies lazima Ben azipitishe kwanza?... Ben akili kubwa lazima...
  15. I

    Prof. Baregu afichua siri ya usaliti CHADEMA. Chanzo ni kutoaminiana na kukosekana kwa uvumilivu

    Mjadala wa Zitto tulishafunga long time! Dhambi ya usaliti ni kutimuliwa tu! Hakuna namna... BTW hili ni gazeti gani? kwa maslahi ya nani? kwani mlishndwa kuuliza maswali siku ile mliyoitwa? au kuuza gazeti lazima muitaje CDM? ... Natambua kuwa hapa mnamshambulia Baregu kwa interest zenu lakini...
Back
Top Bottom