Recent content by ILANGO2019

  1. I

    GE2020 Jumuiya za Madola ziheshimu maamuzi yetu watanzania

    Kwa hiyo ukiwa na mtoto wako Ukaamuwa kumuua watu wa nje tukuache kwa sababu ni mtoto wako. Tumia vizuri akili yako.
  2. I

    Hotuba ya Rais Magufuli Vs Freeman A. Mbowe

    Unadhani na mbowe angepata nafasi ya kuangaliwa kwenye TV pangekuwa tofauti na mh Rais Sent using Jamii Forums mobile app
  3. I

    Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais

    Nia yake imekuwa kujaribu kuandika kwa kuwaridhisha tu watawala ili angalau wamuone kwenye teuzi zao Sent using Jamii Forums mobile app
  4. I

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Iringa ahamasisha Mbowe, Zitto na wengine wanaoikwamisha Serikali 'washughulikiwe'

    Haka kajamaa njaa inakasumbua Kanadhani kanaweza kumua kiongozi wa kisiasa kama kanayemtaja na kabaki salama. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. I

    Who is next ?

    Ni zaidi ya akonda tafaki kw kina Tabula wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  6. I

    Nina huzuni, mpwa wangu anarudi mtaani baada ya kukosa mkopo na mimi kushindwa kumlipia

    Mnajitakia wenyewe na vichwa vyenu vigumu:Muliambiwa elimu itakuwa bure hadi chuo kikuu:hamkusikia Sent using Jamii Forums mobile app
  7. I

    Kuna ulazima sheria kuhusu utumishi wa umma ibadilishwe

    Pambana kutafuta kazi itakayo kupatia Kipato acha roho mbaya :Mawazo yakijinga kama haya hayatakusaidia kupata kazi ya kipato. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. I

    Msemaji wa Serikali Dk. Abbasi atunukiwa Cheti cha Uprofesa nchini China

    Kumbe china niridhani ni nchi Inayoangalia uhakisia sio fursa. Kwa huyo jamaa hamna kitu hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. I

    Suala sio Rais Magufuli kuongezewa muda, bali ni nani atayaendeleza haya anayoyafanya?

    Tanzania tangu ipate uhuru huu ni mwaka wa 58,katika hiyo kaongoza 4 tu. 54 hakuwa yeye na mambo yalienda. Kudhani hakuna wa kufanya ni ujinga wapo watanzania wengi tu wanaweza hata kumzidi sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. I

    CHADEMA yadai uchaguzi ufutwe, kuwe na tume huru na marufuku kutumia nembo ya CHADEMA. Kwa tume iliyopo hakuna jipya imejaa magigisi

    Siku hizi wakiwa hawana hela mnawakata ili wasiabike:Akili yako inazidiwa na Mbwa
Back
Top Bottom