Recent content by ilakiso

  1. ilakiso

    Tangawizi ya Kigoma

    Habari wana JamiiForums, Ninauza tangawizi za Kigoma, kilo moja kwa sh 2200 ninauza kuanzia kilo tano na kuendelea kwa jumla, ukihitaji nipigie kwa number hii 0654564224 niko Dar es Salaam Temeke.
  2. ilakiso

    dagaa wa kigoma

    asante asante kwa ushauli
  3. ilakiso

    Natafuta dagaa wa chumvi

    habari, vip umeshapata dagaa, mm ninawauza kwa jumla je unatak uono wa kuchemshwa au ule wa kawaida tu nicheki kwa number hii 0654564224 nko dar
  4. ilakiso

    dagaa wa kigoma

    picha nu hio kwenye profile yangu mkuu
  5. ilakiso

    dagaa wa kigoma

    karibuni kwa waliopo dar es salaam, nauza dagaa wa kigoma wazuri wasio na mchanga kwafungu ya 2500, 5000, na 10000 kwa anaehitaji piga simu 0654574224, 0764192746. napatikana buza sigara, na pia nafanya delivery. KARIBUNI SANA
  6. ilakiso

    Natafuta kazi ya kufanya wakati wa usiku

    asante askari muoga
  7. ilakiso

    Natafuta kazi ya kufanya wakati wa usiku

    hahhahhaha haya bana mm ni msichana
  8. ilakiso

    Natafuta kazi ya kufanya wakati wa usiku

    mm ni mdada za ulinzi siwez
  9. ilakiso

    Natafuta kazi ya kufanya wakati wa usiku

    hunitakii mema ndugu
  10. ilakiso

    Natafuta kazi ya kufanya wakati wa usiku

    kweli ila tu isiwe ya kuzalilisha au ya aibu
  11. ilakiso

    Natafuta kazi ya kufanya wakati wa usiku

    habari, ninatafuta kazi ya kufanya wakati wa usiku ili kujiongezea kipato maana kwa sasa hakitoshi na ninamajukumu mengi yanayoitaji pesa, kwa mtu.anaeweza kuniunganisha kwenye production company yeyote, kampuni za simu, au cassino kubwa kubwa. Na sichagui kazi, ninauweza wa kuelewa kwa haraka...
Back
Top Bottom