Recent content by Ikra Ally

  1. I

    Faida za kusoma chuo kikuu ni sawa na vyuo vya kati?

    Nashukr kwa kunsaidia maan jamaa anajion kana kwamb ana masters ya kiswanglsh
  2. I

    Faida za kusoma chuo kikuu ni sawa na vyuo vya kati?

    😂😂😂tukasome qur'aan kbsa au cio
  3. I

    Faida za kusoma chuo kikuu ni sawa na vyuo vya kati?

    So tunawez sema aliesoma Ud anawez kua na dvantage kubwa hata ktk soko la ajira vlevle tofaut na vyuo vingne bla shaka?
  4. I

    Faida za kusoma chuo kikuu ni sawa na vyuo vya kati?

    Pengn nkupe mfano,Je alie graduate Udsm akapata Gpa ya 4.5 ni sawa na aliehitimu Tia with same same Gpa?
  5. I

    Faida za kusoma chuo kikuu ni sawa na vyuo vya kati?

    Hbr za wakti huu wadau,naomb mnielimishe na kunsaidia kweny hli,Je kuna tofaut yeyte ya mtu anaehitimu degree chuo cha taasisi na chuo kikuu? Yani mfano Anaehtimu Degree kwa GPA kubwa UDSM na Anaehtmu kwa GPA ya juu TIA,pengne kuna faida ipi ya ziada inapatikana kwa kuhtimu chuo...
  6. I

    Naomba ushauri wenu

    Shukran sana bro
  7. I

    Naomba ushauri wenu

    Vtu hvo ktk maisha vpo wala c vya kushangaza c wewe tu hata wanafunz wenzang nlosoma nao mpk kesho hawaamn km nilipata 4 kwa vle nilivyokua bright darasani
  8. I

    Naomba ushauri wenu

    Shukran sana bro,naiman ntafika napopatarajia Kweli naweza kufungua biashara,lkn biashara inahtaji vtu ving sana,mbali na hvy pia ndoto zangu ni kujiendleza vile vle...
  9. I

    Naomba ushauri wenu

    Habari, Naitwa Ikra nina miaka 24, mkazi wa Dar Temeke, nilihitimu masomo yangu ya kidato cha 4 mnamo mwaka 2016 na nilipata Division 4 ya (29), japokuwa darasani nilikuwa niko vizuri sana hata matokeo sikuyatarajia kiasi hicho, maana yalini-disappoint kiukweli, nikapanga ni risiti ila mipango...
Back
Top Bottom