Recent content by Ikohumo

  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na mbinti wa mitandaoni tuendelee kujipodoa tu

    Nimeghahiri
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na mbinti wa mitandaoni tuendelee kujipodoa tu

    siku za nyuma nilileta uzi wangu humu ambao ulisema "natafuta baba atakaye kuwa baba wa mtoto wangu" Walijitokeza wanaume wengi wao walikuwa mbali na mkoa niliopoa, ila kuna mmoja tulikuwa wilaya moja. Huyu ndiye nilimuona anafaa sana. Alinitumia picha zake ila mimi sikumtumia nikamwambia...
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikua nasikia tu kwa watu leo nimeamini kwamba wanawake sio wa kuwaamini

    Na wanawake waliosalitiwa wawaiteje wanaume? Wanaume ambao wanasaliti hadi familia nao waitweje?
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanangu apate malezi ya baba

    Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM. SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi. SIFA...
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mzazi mwezangu anamaana gani?

    Nimezaa naye mtoto bado hajaoa, ameoa mtoto ana miaka3 na wala sina mpango
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mzazi mwezangu anamaana gani?

    Ndugu jf, nimekuja hapa kuomba ushauri, nikiwa chuo nilikutana na kijana tukaanzisha mahusiano kwa bahati nzuri nikashika mimba nikamwambia mwezangu alikataa na kuniambia niitowe yy anamtu wake na akisikia amempatia msichana mwingine atajiua, nilikataa nikamuomba basi mtoto tumlee...
Back
Top Bottom