Mvutano wa Timu ya Taifa Harambee Stars na Serikali unaonekana kuchukua mwelekeo mpya baada ya Wizara ya Michezo kusema imetimiza majukumu yake ya kifedha kwa posho zinazohusiana na safari za Harambee Stars nchini Zambia, South Africa na Turkey, pamoja na kambi ya CECAFA U-20(Kwa walio chini ya...
Zaidi ya tani 1 ya methamphetamine yenye thamani inayokadiriwa kuwa shilingi bilioni 8.2 imeharibiwa Mombasa leo, baada ya kukamatwa katika operesheni ya pamoja baharini mwaka jana.
Mizigo hio takriban kilo 1,036 ilikamatwa kutoka kwa chombo kilichokuwa baharini takriban kilomita 630 mashariki...
Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Umma(UASU) kimetoa notisi ya siku 7 ya mgomo kufuatia kukwama kwa mazungumzo kuhusu Mkataba wa Pamoja wa Ajira(CBA) wa 2025 hadi 2029. Katibu Mkuu wa UASU Dkt. Constantine Wasonga amesema Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vyote vya Umma wataanza mgomo Oktoba 2, 2026...
Polisi wamewaokoa punda 30, wakiwemo wawili wadogo, kutoka katika ghala moja kando ya Juja Farm Road, huko kaunti ya Kiambu, ambapo wanashukiwa kuwa walikuwa wakishikiliwa kwa ajili ya kuchinjwa.
Kwa mujibu wa mamlaka, operesheni hiyo ilifichua pia visu na ngozi za punda, huku uchunguzi wa...
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa Harambee Stars, Benni McCarthy, amefichua kuwa yeye pamoja na benchi lake la kiufundi bado hawana vibali vya kufanya kazi nchini Kenya, licha ya kuwa amekuwa akiongoza timu ya taifa kwa takriban mwaka mmoja na nusu, yaani miezi 18!
Kocha huyo, raia wa Afrika Kusini...
Video za Talanta Stadium(itapewa jina rasmi Raila Odinga International Stadium) zimekuwa zikisambaa kwa kasi mitandaoni huku uwanja huo ukikaribia kukamilika.
Uwanja huo wenye uwezo wa kubebaa takriban watu 60,000 umefikia zaidi ya 94% ya ukamilishaji, kwa mujibu wa Waziri wa Michezo Salim...
Takwimu mpya kutoka Benki Kuu ya Kenya (CBK) zinaonesha kuwa idadi ya akaunti za benki zenye zaidi ya Sh500,000 iliongezeka kwa 5.7% mwaka uliopita. Kufikia December 2025, kulikuwepo na akaunti 781,977 zilizokuwa na zaidi ya Sh500,000, ikilinganishwa na 739,803 mwaka 2024.
Lakini kuna jambo...
Tume ya Elimu ya Vyuo Vikuu nchini Kenya(CUE) imeibua mjadala kuhusu pengo kati ya kozi zinazochaguliwa na wanafunzi wa vyuo vikuu na ujuzi unaohitajika katika soko la ajira.
Takwimu za 'The University Statistics Report 2025' zinaonesha kuwa wanafunzi wengi wako katika maeneo kama 'Education...
Miti mikubwa ya Jacaranda iliyokuwa kando ya Oginga Odinga Road katika Mji wa Nakuru imekatwa, hatua ambayo imezua maswali na hisia miongoni mwa baadhi ya wakazi na watumiaji wa barabara hiyo.
Hatua hiyo inakuja wakati Oginga Odinga Road ikihusishwa na mipango ya kuboresha miundombinu ya...
Mahakama Kuu imeamuru kuwa kujumlisha na kuthibitisha matokeo ya uchaguzi wa urais katika ngazi ya kitaifa(National tallying Centre) ni halali, na hivyo basi imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Seneta wa Busia, Okiya Omtatah, iliyopinga mchakato huo.
Mahakama imeeleza kuwa masharti ya...
Watu 3 wamefariki na wengine 2 wako katika hali mbaya baada ya kile kinachosadikiwa ni kunywa pombe haramu huko Kimende, eneo-bunge la Lari, Kaunti ya Kiambu.
Kufuatia vifo hivyo, wakazi wa Kimende walifanya maandamano wakitaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya uzalishaji na uuzaji wa pombe...
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, kwa mara ya kwanza, ameibua shaka kuhusu uhalali wa ushindi wa Rais William Ruto katika Uchaguzi Mkuu wa 2022, akidai kuwa anaamini hayati Raila Odinga ndiye aliyeshinda.
“Mpaka wa leo najua ya kwamba yeye ndiye alishinda hiyo kura,” Uhuru amesema.
Kauli hii nzito...
Tanzania imeipiku Saudi Arabia kwa mara ya kwanza kama chanzo cha fedha zinazotumwa Kenya na diaspora, huku Wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tanzania wakituma nyumbani shilingi bilioni 1.52 (pesa za Kenya) kwa mwezi Agosti 2026 tu.
Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu ya Kenya(CBK), Wakenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.