Recent content by IJUE

  1. I

    Mfumo wa electronic

    nashukru ndg yangu nimekuelewa sana
  2. I

    Mfumo wa electronic

    wadau naomba msaada,kama nimetuma maombi ya kazi kwa mfumo wa electronic ukawa haujapata kazi,ukahitaji kutuma maombi mengine unaweza kuupdate ukatumia data hizo hizo? naomba mnisaidie jamani!
  3. I

    Matapeli wa mtandaoni

    >>0753795512,huyu anaitwa GODSHALL,yeye eti anafanya kaz ktk shirika la AMREF LAKE ZONE PROGRAM >>0712514171,huyu anajiita mzee jackson,yeye anafanya kaz ktk shirika la TASAF @NDG zangu tunaoweka matangazo ya kutafuta kazi ktk mtandao huu tuwe makini na watu hawa ni hatar sana.
  4. I

    Nafasi za kazi

    watu wa kilimo na mifugo unawachukua mkuu.imranmwombeki.yahoo.com
  5. I

    World bank approves $80 million for job growth in Tanzania

    habar njema ktk sekta ya ajira
  6. I

    Nina cheti cha kilimo na mifungo, natafuta kazi

    tangu nimalize masomo nilikuwa nauza kwenye famasi ya kilimo na mifugo mpaka leo.
  7. I

    Nina cheti cha kilimo na mifungo, natafuta kazi

    nilihitimu mafunzo ya kilimo na mifugo mwaka 2012 ktk chuo cha ukiruguru,naomba mwenye kampuni/taasis au mtu binafsi aniwezeshe niweze kupata kazi.ndg yangu mtaan ni kugumu na wengine hapo ndo mwisho wa elimu kutokana hali dun ya maisha,pengine napenda kuendelea kusoma lakin huo ndo uwezo...
  8. I

    natafuta kaz

    natafuta kazi ktk kada ya kilimo na mifugo ngaz ya cheti,wadau kama kuna mtu au kampun anisaidie na aniwezeshe kutimiza ndoto yangu,maana tangu mwaka 2012 mpaka leo sijawahi kupata kaz/kibarua licha ya juhudi zangu za kutafuta kaz kugonga mwamba kila mahali.kama kuna mdau anichek kupitia email...
Back
Top Bottom