Recent content by ijue historia

  1. ijue historia

    Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

    Tukio la kweli lilikiki na kujulikana sana wakati huo
  2. ijue historia

    Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

    SEHEMU YA TATU MOJA katika mchoro huo ni idadi ya watekelezaji wa ujambazi huo katika benki ya NMB MWANGA, kwa mujibu wa “mastermind” mwenyewe ambaye ni MACHO MBAYA aliona kunahitajika watekelezaji sita [6] tu ili mchoro utendewe haki na ujambazi wao kufanikiwa. Hapo wao majambazi WAKENYA ni...
  3. ijue historia

    Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

    Pamoja mkuu nitakucheki kwasasa niko resi kidogo na usambazaji vitabu, kuna chanzo changu kimoja kilinikomalia mama alikuwa anajua mchezo mzima ila nitakutafuta.
  4. ijue historia

    Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

    Umeelewa hapo? Story anayoongelea mdau huyo haihusiani na story ninayoelezea, ni amechanganya matukio... Ukisoma kichwa cha habari utaelewa
  5. ijue historia

    Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

    Mkuu hapo unaongelea ujambazi wa benki ya NBC, hii ni ujambazi wa NMB
  6. ijue historia

    Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

    Mkuu kama unaona wa kizee pita kushoto maana unaonekana hujui makala ni nini, werevu wanaelewa... Punguza makasiriko
  7. ijue historia

    Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

    SEHEMU YA PILI Wazo kupitishwa ndo mwanzo wa kurudi tena swali gumu lile la mwenyeji wao atakuwa nani nchini TANZANIA maana jamaa waliyemzoea na kufanya naye biashara za kihalifu nchini TANZANIA hakuwa duniani tena baada ya kuuliwa na polisi jijini ARUSHA. Jambazi huyu alikuwa akijulikana kama...
  8. ijue historia

    Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

    Kitabu bora cha UJASUSI na USALAMA kiitwacho "IJUE HISTORIA" chenye kurasa 470 kinachoongelea historia za UJASUSI, UPELELEZI, SIRI ZA DUNIA, UGAIDI na UHALIFU kimeshatoka na kinapatikana kwa sh 25,000 tu. Pia kundi la "ijuehistoria" (WhatsApp group) lipo kwa gharama ya sh 3000 kwa mwezi. Namba...
Back
Top Bottom