Recent content by IJN2026

  1. I

    JamiiForums Umeme unaisha haraka? Usiilaumu mita kwanza

    Kwanini eneo linalohitaji nguzo 3 serikali isiweke ruzuku? Mtu anakujibu "huo mtaa unaokaa hatuna mradi hivyo basi kama huwezi kulipia hicho kiasi subiri mpaka tutakapokuwa na mradi" hujakaa sawa jirani wa barabara ya 3 anapelekewa nguzo 3 kwa bei ya nguzo 2 na nguzo 10 kwa bei ya nguzo 1 na...
  2. I

    JamiiForums Umeme unaisha haraka? Usiilaumu mita kwanza

    Makadirio yenu tu yanaacha familia 5 bila umeme. Nguzo 3 gharama M2.4 kweli? Wakati nguzo 2 laki 696.. wakati huo huo kuna mtu kapelekewa nguzo kumi kwa gharama ya nguzo 1.. mna double standard sana na watumishi wenu wanapenda sana rushwa na majibu ya hao wa ofisini ni mabaya mno. Kama kungekuwa...
Back
Top Bottom