Ni kweli tena ni mchungu
Tujitafakari watanzania , tubadilike au tuendelee na Simba na Yanga huku rasilimali za taifa zikiuzwa kila kukicha na watawala4
Utakuwa upo sahihi ikiwa tu na id malaria2 ni ya kwako
Tangu trh 22 mleta hoja amekuwa na ugonjwa wa kisonona kilichosababishwa na ushindi wa TAL . Kwa siku anaanzisha thread zaidi ya kumi ambazo zote zinamlengo hasi kwa TAL na kwa wale wote walikuwa timu yake ya ushindi
Walichelewa tu kusitisha
Wanapaswa kuacha kabisa
Haiwezekani Tanzania yenye utajiri wa kila rasilimali lakini bado tunategemea USA kwenye swala la afya ya watanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.