Recent content by igunga99

  1. I

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa Dar es salaam

    Ni kweli anachosema obama wa bongo,eneo la mgogoro lipo ni kwamba watu walivamia lakini wameondolewa.Ila shamba linalouzwa halipo mahali hapo.Lipo baada ya mabwepande secondary,unapita msitu wa mabwepande unaingia kushoto,shamba linatazamana na wazo hill na pia ni karibu na mbopo...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa Dar es salaam

    Shamba lenye ukubwa wa hekari 2 lililopo Bunju B linauzwa milioni 28.Shamba lipo karibu na wahanga wa mafuriko na ni kati ya dakika 10-15 kutoka zilipo nyumba za wahanga,shamba ni tambarare na linafaa kujenga nyumba.Udalali unaruhusiwa na bei pia ni makubaliano.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nauza shamba

    Shamba tambarare lenye ukubwa wa hekari mbili linauzwa.mahali ni bunju- B mwendo wa dakika 10-15 kwa gari kutoka kwa wa athirika wa mafuriko.Bei ni millioni 28 udalali unakaribishwa pia.
Back
Top Bottom