Recent content by igum

  1. I

    JamiiForums Tanzania Hili la ukaguzi wa vyeti feki kwa watumishi wa umma linahitaji mjadala mpana,nini kifanyike?

    Baraza la mitihani limetoa namba 0742484955 ili mtume taarifa za watu wanaotumia vyeti vya watu wengine na wale waliogushi , taarifa za mtumaji ni siri na zitahifadhiwa , toa taarifa ili waliogushi waondolewe , wenye vyeti walio mtaani waajiriwe
  2. I

    JamiiForums Tanzania Afisa Utumishi mkoa wa Tanga ni jipu

    Ulishaenda kwa mwajiri wako ukamueleza haya kabla ya kupost ? Au ndo ulijua ukipost tu utumbuaji unafuata , ni kosa kumruka mwajiri wako na ngazi zingine za uongozi , Mhe rais anakazi nyingi za kufanya , wapo wasaidizi wake ngazi ya wilaya na mikoa
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji la Arusha akanusha ubadhirifu wa Kaliua

    Sijaelewa , tuhuma za Kaliua , attachments za mafuta ya jiji la arusha , ama kweli mfa maji haishi kutapatapa , fungukeni one by one eboooo , halafu unapomuharibia au kumchafua mwenzio unapata nn ? Acheni wivu na husuda mungu anawaona pumbafuuuuu
  4. I

    JamiiForums Tanzania Afisa Utumishi mkoa wa Tanga ni jipu

    Acha wivu ww , kwanza utakuwa mwalimu au mhudumu au dereva wewe , kama baba yako alishindwa kukusomesha huyo Afisa Utumishi ndo akusomeshe , hela zote zinaenda kwenye miradi na dawa , fanya kazi , halafu unasema chanzo ni watumishi wa jiji wkt umeandika ww , mnafki mkubwa usimuharibie...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ni maajabu kuongezeka kwa matumizi katika mishahara wakati serikali inadai imeondoa watumishi

    Lofa ww , mmekalili ajira za walimu tu , idara zingine hawana limit ya muda , wanaripoti tu , pia serikali ya ccm imepromote watumishi kibao , wage bill iwe sawa ? Fala ww utakuwa na kademu kamemaliza ualimu kanasubiri ajira , hahahaaa Immmmoooooo...!
  6. I

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ni maajabu kuongezeka kwa matumizi katika mishahara wakati serikali inadai imeondoa watumishi

    I mean 2016/2017 hakuna annual increment
  7. I

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ni maajabu kuongezeka kwa matumizi katika mishahara wakati serikali inadai imeondoa watumishi

    2016/2017 hakuna annual increment but hadi June 2016 approved promotions na new hires xilikuwa at 80% , wage bill haiwez kuwa sawa na previous months , so ucha umbumbumbu na ulofa
  8. I

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ni maajabu kuongezeka kwa matumizi katika mishahara wakati serikali inadai imeondoa watumishi

    Approved actions za new hire and promotions zimeanza lini ukitoa za elimu ambazo hazijatoka
  9. I

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ni maajabu kuongezeka kwa matumizi katika mishahara wakati serikali inadai imeondoa watumishi

    Nakusamehe bure haya ni mambo ya kitaalamu na sio siasa , pole na tambua shule ina umuhimu wake , Bahati mbaya sijajua ni girl or man, ningepima uwezo wako wa kufikiri
  10. I

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ni maajabu kuongezeka kwa matumizi katika mishahara wakati serikali inadai imeondoa watumishi

    Unafahamu ajira mpya zimesitishwa kwa muda tangu mwezi upi ? Au unakurupuka tu, how about promotions and recategorized employees, then na akili yako unatoa takwimu za sept 2015 na June 2016 wkt shughuli za approved actions zilikuwa zinaendelea , acha umbwiga
  11. I

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ni maajabu kuongezeka kwa matumizi katika mishahara wakati serikali inadai imeondoa watumishi

    How about promotions, recategorizations and new hires, so budjet itakuwa ile ile japo unaondoa watumishi hewa?
  12. I

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ni maajabu kuongezeka kwa matumizi katika mishahara wakati serikali inadai imeondoa watumishi

    Watumishi wengi wamepanda vyeo kuanzia Feb, 2016 na ajira mpya tangu July 2015 zimekuwa approved , acheni uchochezi wa kisiasa
  13. I

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa vyeti: Wengi watangaza kupotelewa vyeti vya elimu

    Wengine wameanza kuresign 24 hrs , warejeshe mishahara yote waliyopokea
  14. I

    JamiiForums Tanzania Sikonge: Watumishi wafukuzwa kazi, afisa utumishi wa wilaya aacha kazi ndani ya masaa 4

    Nawatumia updates na majina muda si mrefu
Back
Top Bottom