Kwa nyongeza angalia hiyo mandhari ya upareni milimani . Na SASA hivi Kwa wapare wanaoishi tanbarare za Mwanga, Kisangara, Lembeni, Mgagao, Njoro, Ishinde, Same, Makanya,na Hedaru Mama mwezi Marchi alizindua mradi mkubwa WA MAJI safi na salama kutoka Nyumba ya Mungu hivyo PAMOJA na HALI hiyo...