Recent content by ifweero

  1. ifweero

    Yusuph Manji awekwa chini ya ulinzi siku 20, aiomba mahakama iingilie kati

    Hii sio ile awamu ya kuchekacheka, shikeni adabu yenu
  2. ifweero

    Ukweli kuhusu Waraka wa Kanisa Katoliki na tarehe 09-Desemba siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Nawaomba tu muwe makini na mbegu yenu hii ya udini
  3. ifweero

    Taarifa kwa umma kuhusu kesi ya Lipumba na wenzake

    Hii kweli taasisi ya cuf.wazee wa pwani
  4. ifweero

    Dodoma: Dawa ya Wabunge wa CCM wakosoaji yapatikana

    Huna hoja wewe kibaraka. Unajishaua tu hapa. Sijui ni ke wewe?
  5. ifweero

    Dodoma: Dawa ya Wabunge wa CCM wakosoaji yapatikana

    Tumia kichwa wakati unataka kuweka post hapa jf
  6. ifweero

    Dodoma: Dawa ya Wabunge wa CCM wakosoaji yapatikana

    Uropokaji tu wa mleta mada. Hakuna jipya hapa
  7. ifweero

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Vijana wa chagadema mjiongeze basi jamani. Hii nchi inaongozwa kwa utaratibu wa sheria na kanuni.mnajikita katika uropokaji mnakosea....tengeni mda wa kazi mjipatie riziki. Acheni kula kulala
  8. ifweero

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Huu ni mda wa kazi kijana. Hiyo elf mbili unayolipwa hapo ufipa haiwezi kukutosha kamwe. Badilika.
  9. ifweero

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Fungua akili yako. Ondoa njaa na mawazo mgando
  10. ifweero

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Huu ni utabiri wa nyota. Acheni ujinga fanyeni kazi
Back
Top Bottom