Recent content by idrissi

  1. I

    Diploma ya Radiotherapy/Radiology kwa Vyuo vya Serikali

    [emoji120] Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  2. I

    Diploma ya Radiotherapy/Radiology kwa Vyuo vya Serikali

    Basi ni hivyo kila la kheri Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  3. I

    Diploma ya Radiotherapy/Radiology kwa Vyuo vya Serikali

    Nimemshauri aweke 1.Radiology 2.Optometry 3.Dental Hatajuta Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  4. I

    Diploma ya Radiotherapy/Radiology kwa Vyuo vya Serikali

    Haha uongo mkuu..nakupa mfano mdogo Kuna zahanati nilikua nafanya ya private C.O tulikua tunalipwa 13k kwa shift lakini Dentist dogo mmoja mdogo tu alikua akilipwa kwa kichwa kwenye elfu 10 yeye anakata elfu 3 na kwa siku alikua ana ng'oa zaidi ya watu 20 bado alikua anazipa meno Kuna hela...
  5. I

    Diploma ya Radiotherapy/Radiology kwa Vyuo vya Serikali

    Iko hivi Kama unataka sifa mtaani Soma C.O Ila utakua na Maisha Duni maana ajira mkasi kwa Sasa. Ila Kama unataka mafanikio bila jasho chukua Macho,Radiology na Meno hizo ndo kozi ambazo hazina wataalamu wa kutosha mtaani na ukiajiriwa na serikali Basi hukai kijijini Kamwe na pia hata private...
  6. I

    Diploma ya Radiotherapy/Radiology kwa Vyuo vya Serikali

    Dah mdogo samahani Ila nakushauri hivi kwa sababu Mimi nimepita huko C.O...futa Anza upya itoe kabisa hiyo pharmacy maana Kama umeweka juu ya optemetry Ina maana kipaumbele chako no pharmacy kabla ya hiyo hivyo utapelekwa pharmacy. Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  7. I

    Book and short notes concerning medical courses

    Kwa kuanzia tu semista ya kwanza una masomo 8...module zingine ingie Google utaletewa ..hapa nilipo mtandao shida zinafeli kuaupload humu Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  8. I

    Book and short notes concerning medical courses

    Nenda Google andika " CMT NTA level 4 notes" utaletewa zote semista 1 na 2 Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  9. I

    Book and short notes concerning medical courses

    Okay weit Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  10. I

    Diploma ya Radiotherapy/Radiology kwa Vyuo vya Serikali

    Kama upo Dar nakushauri nenda pale pale ukaulize Kama wamefungua. Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  11. I

    Diploma ya Radiotherapy/Radiology kwa Vyuo vya Serikali

    Maksi zako za Hali ya juu unapata Muhimbili bila tabu..narudia Tena achana na pharmacy kwa hapo komaa na Radiology, Optemetry na Meno achana pia na C.O utajipotezea muda. Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  12. I

    Diploma ya Radiotherapy/Radiology kwa Vyuo vya Serikali

    Achana na pharmacy Kama huna hela ya kujiajiri Kasome Radiology..ukishindwa Kasome macho au meno...maksi zako zipi? Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  13. I

    Book and short notes concerning medical courses

    Kozi gani Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  14. I

    Nimezaa na mke wa mtu watoto wawili na ana mimba ya tatu

    Sina Cha kukushauri ila nikuambie tu "WEWE NI KIUMBE DHAIFU NA MBINAFSI KULIKO MWANAMKE" Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  15. I

    Diploma ya Radiotherapy/Radiology kwa Vyuo vya Serikali

    Chuo Cha serikali kinachotoa hiyo kozi ni kimoja pekee nacho ni Muhimbili na kwa private Bugando japo Ada yake 2M na Muhimbili Ina range 70k+ kwa morning na 1.5M kwa evening...Bugando hawajaweka kwa mfumo wa Nacte ukitaka kuomba ingia moja kwa moja kwenye website yao na Muhimbili hivyo hivyo...
Back
Top Bottom