"pambana mpaka mmoja akufe" usichukuliwe kirahisi ikiwa mahusiano yamegeuka kuwa na ukatili wa kimwili au kisaikolojia (abusive relationship). Ndoa inapaswa kuwa sehemu ya amani na usalama, siyo ulingo wa hatari kwa maisha ya mtu.
Wanaume, nisikilizeni kwa makini. Makosa haya mawili yanaweza kuharibu kabisa maisha ya mwanaume.
Na kitu cha ajabu ni kwamba, kosa moja linaweza kutokea kwa sababu tu ya starehe ya dakika chache, wakati lingine linaweza kukuchukua miaka mingi kurudi kwenye mstari.
Najua wengine wenu mtabisha...
Kibaruani huku ni ngumu kuondoka, na pia Hali za kiuchimi kutoka nilipo mpaka kule ni ghali mno.
Nilitamani kuwafanyia mchakato aende hospital yenye madaktari bingwa wa watoto lakini bado hajaruhusiwa kutoka kwa Hali yake
Mimi si mtaalam wa masuala ya afya, frstborn wangu amepatwa na changamoto na mimi ni mzazi mpya (baba mpya).
Tarehe 11 mwezi huu wa 9 ndio alizaliwa. Njia ya uzazi ilikua ni ya kawaida japo iliambatana na changamoto nyingi kutokana na mke wangu ndio alikua napata uzazi kwa mara ya kwanza...
Natafuta Ajira hua nakuelewa sana kwenye nondo Zako. Nimekula mfuasi wa theories zako since nikujue kwenye jukwaa hiki.
Shukrani mkuu, endelea kutoa nondo.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.