Recent content by idrisa abd

  1. I

    Uwekezaji

    Habari wapendwa Nina idea ya biashara mtaji usd 200-300 Nahitaji mwekezaji tupeane mikakati ya kisheria tufanye kazi 0622998765
  2. I

    Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam

    Uko sahihi Ila simu NI moja Kati ya opportunity kwangu nikiuza napoteza fursa zingine ambazo zitanipa mtaji mzuri
  3. I

    Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam

    Nichek 0622998765 Kama uko serious
  4. I

    Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam

    0622998765 nichek nikupe ushauri Kama uko serious
  5. I

    Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam

    Ni kweli na uko sahihi Ila changamoto mtaji kiongoz I have an idea but Due to lack of capital nothing i can
  6. I

    Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam

    Sichagui kazi kikubwa iwe ya halali Umri: 23 Elimu form 4, diploma Niko na uzoefu wa kuuza Duka la chakula kwa miaka 4. Pia, nina uwezo mzuri kuhusu mipango ya biashara na pia natoa ushauri wa kibiashara kwa mtaji kuanzia million moja. 0622998765
  7. I

    Natafuta kazi yoyote halali. Niko Dar es Salaam

    Mimi NI kijana wa miaka 23 Nahitaji kazi yoyote halali either ya nguvu au akili au zote kwa pamoja nimemaliz form four na nikisoma diploma miaka 2 wa tatu nimeshindwa kutoka na changamoto za ada hivyo nimeipata certificate course insurance and Risk management Na Nina uzoefu wa kuuza Duka kwa...
Back
Top Bottom