Hii,pia imenikuta tena mara nyingi na pale unapokaza au kuwanyima hela wanakuchukia ila cha kufanya angalia yako kwa sasa hiyo ndio suluhisho wakija tena ni mwendo uleule wa sina sina au kukaza kama watachukia wachukie tu. Maana wanarudisha nyuma sana kimaendeleo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.