Recent content by idovow

  1. I

    JamiiForums Upatikanaji wa Gazeti la Daily News Mtandaoni

    Habari wadau, nimekua nikijaribu kupata access ya magazeti ya Tanzania Standard Newspaper ikiwemo Daily News n Habari Leo MTANDAONI bila website yao bila mafanikio. Kuna njia nyingine ya kuyapata haya magazeti mtandaoni?
  2. I

    JamiiForums Uber, Suluhisho ama chanzo cha foleni?

    Yes, they're cheaper and that's the aim of it. Niliandika hivyo sababu palikua na watu wanalalamikia prices za uber kua chini, kwa dhan ya kuanzishwa kwake zinapaswa kuendelea kua chini hivyohivyo otherwise zitakua kama tax..
  3. I

    JamiiForums Uber, Suluhisho ama chanzo cha foleni?

    Wakuu nimefuatilia suala la uber na app nyinginezo zinazotoa huduma zinazofanana na hii. Ukitizama dhana ya uundaji wa mtandao wa Uber kuachilia mbali kama fursa ya biashara ililenga kupunguza idadi ya magari barabarani kwa kuwaweka watu wengi kwenye magar machache. Hii ndio maana hasa ya "ride...
Back
Top Bottom