Search results

  1. Idimi

    Acheni kuuza magari kwa kuthaminisha thamani ya gari na NAMBA

    Uliachoandika ni sahihi kabisa. Kwa mfano ukipata gari zilizotumika ubalozini, mashirika ya kimataifa kama UNDP, UHNCR, UNOPS, WFP, FAO, UNICEF nk, wao huingiza magari yakiwa mapya kabisa na wanafanya service za kueleweka kwa sababu wanatumia mtoa huduma aliye na sifa nzuri kufanya service za...
  2. Idimi

    Utaratibu wa kuomba 'Visa' ya Nchi ya Oman

    Siku hizi kila kitu kipo mtandaoni, ungeweza kucheki mtandaoni ukapata majibu.
  3. Idimi

    Acheni kuuza magari kwa kuthaminisha thamani ya gari na NAMBA

    Uko sahihi sana. Niko kwenye taasisi fulani, nimengalia cruiser za Kanisa Katoliki, zina namba AAF lakini utadhani zimeletwa mwaka huu, nikilinganisha na za umma. Gari ni matunzo, kuna namba D ni mbovu kuliko namba B
  4. Idimi

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    RIP Mwamba Mr. Superman. Nakumbuka alikuwa na kipindi chake TBC miaka funali hapo nyuma kikiwa na mada mbalimbali.
  5. Idimi

    CCM Mkoa wa Rukwa mmeshindwa kutetea Wananchi wenu subirini hasira zào Oktoba 2024/25

    Yaani mpaka leo sielewi planners wa Sumbawanga ni wa namna gani! Kwa nini hawaigi Mbeya? Mbeya walihamisha uwanja toka Mwanjelwa kuupeleka Songwe penye nafasi. Pale Mwanjelwa wanajenga stendi kubwa ya mabasi. Nilikuwa na mawazo kama yako kwa Rukwa, uwanja wangeuhamisha na lile eneo la sasa la...
  6. Idimi

    CCM Mkoa wa Rukwa mmeshindwa kutetea Wananchi wenu subirini hasira zào Oktoba 2024/25

    Kabisa, nadhani wananchi wa Rukwa wangekuwa kama wa Mbeya, pangechimbika sana. Stendi ingerudi mjini
  7. Idimi

    CCM Mkoa wa Rukwa mmeshindwa kutetea Wananchi wenu subirini hasira zào Oktoba 2024/25

    Nami nimeshangazwa sana na maamuzi ya watendaji wa Manispaa ya Sumbawanga. Toka siku za nyuma pia ilikuwa ni amri kwamba mabasi yanayotoka nje ya mkoa wa Rukwa kutokea njia ya Tunduma, wanalazimishwa kushusha abiria stendi ya Katumba, kilometa 15 nje ya mji hata kama gari linakuja kulala mjini...
  8. Idimi

    Serikali kujenga uwanja wa mpira Arusha wa kuchukua watu 30,000 ni kukosa maono

    Arusha inakua kwa kasi, kwa nini tusijenge uwanja wenye capacity kubwa? Hata kama itajazwa in the next 20 years sio mbaya, kuliko kujenga uwanja mdogo then tunakuja kufikiria kujenga mwingine miaka michache ijayo kutoka na uliopo kujaa.
  9. Idimi

    Mambo gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa?

    msiweke mipango ya pamoja ya maendeleo (hasa uwekezaji) kwa sababu mkimwagana katikati ya njia mtaishia kuuana ama kupelekana mahakamani Usimsomeshe, hilo jukumu la serikali (HESLB) na wazazi wake Usimwambie siri zako zote, mkimwagana atazitoa nje
  10. Idimi

    Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

    I hope uli enjoy mzee. Nilikuwa huko Lushoto Desemba. Pazuri
  11. Idimi

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Naona mnafukua makaburi. Enzio Profesa hana mpango wowote wa kuwania ubunge.
  12. Idimi

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Katika hizo nilizo upload hapo juu haipo?
  13. Idimi

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    ni kwaito ya zamani ama mpya?
  14. Idimi

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    JF ni hazina kubwa sana. Mr. Ebbo kwenye album yake ya Fahari yako aliimba mambo mengi ya msingi sana. Mungu amjalie pumziko la milele
  15. Idimi

    Askari mstaafu Polisi Saba Sita baada ya kuchimba kaburi sasa anunua jeneza

    Wengi hatukubalini na hii concept. Mie sioni alichokosea huyu afande sabasita
  16. Idimi

    KERO Julius Nyerere International Airport (JNIA) kukosa air condition ni aibu kubwa kwa nchi hii

    Ukichilia mbali ukosefu wa AC, mvua zikinyesha pale termina 2 huwa panavuja sana.
  17. Idimi

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Lakini hapa si mahali pake pa kulalamikia. ungeweka madai yako kule jukwaa la malalamiko
  18. Idimi

    Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

    Ni kweli, ila gharama za maisha kule kwao ni kubwa kuliko hapa kwetu
Back
Top Bottom