Hakuna sheria inayosema kutembea na kisu ni kosa.ila endapo kisu hicho kitatumiwa vibaya...ndiyo...atakuwa na makosa...mfano..akitishia mtu....kumbuka sheria itamlinda pindi ikidhibitika alitumia kisu hicho kujilinda.
Habarini za jioni...mleta mada nafikiri ana chuki binafsi na fani ya sheria...ningependa kuungana na wachangiaji wengine,kwamba fani ya sheria ipo vizuri inategemea umemwangalia Wakili yupi ama mrengo upi....kwa staili ya mada yake hata kuna watumishi wa dini ukiwafuatilia mambo yao unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.