Recent content by iddy ally

  1. iddy ally

    Idea nini nini? Mkanganyiko wake

    Hapa umenigusa sana Kiongozi,ni kweli kabisa , idea ni kitu UNACHOKIAMINI,! Unachokiamini siku zote utakipenda! Ukikipenda utakifanya/ kutekeleza bila kuchoka , hutakata tamaa kwakuwa unaamini unachokifanya! Mara nyingi watu huishia njiani kwakufanya vitu wasivyo vipenda au kuviamini! Hii...
  2. iddy ally

    Msaada kuku kuvimba machoni

    Mkuu me mwenyewe Kuku wangu anatatizo hili, jicho lake limefunga na lilikuwa likitoa maji, nini tatizo?
  3. iddy ally

    Kuna mtu yeyote ameshatumia Payoneer Master Card?

    Mkuu, Habari yako mkuu, tafadhari naomba unifahamishe ni namana gani ninaweza pokea card yangu ya payoneer maana sijawahi pokea mzigo kutoka nje ya nchi, nimeona kwamba wewe ulisha pokea card hiyo, so please naomab unisaidie mawazo mkuu, 0658129251 IDD ALLY
  4. iddy ally

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo jamgwani CCM ilijaribu kutoa ufafanuzi ktk baadhi ya mambo kama vile mfumuko wa bei ya vyakula km vile mchele na sukari mh Steven Wasira asema "hecta laki moja za mpunga kulimwa ktk bonde kirombero" ili kupunguza tatizo la bei ya mchele mwaka ujao wa fedha.
Back
Top Bottom