Recent content by Idd Mpenda Amani

  1. Idd Mpenda Amani

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya sio kwamba wanajielewa isipokuwa ni vijana wasio na Adabu; waliokata tamaa

    kwan kwa mtazamo wako maisha ya vijana wa Kenya yakoje vile unayajua ww? tatizo lenu watanzania uwa hamjioni, nyie mkiona vijana sharobora mtaani hawana kazi mnajusahau maisha hayo yapo Mpaka kwenu wengi wenu mko hoi ila mnapenda kufake ali zenu cz sio haraka kuona vijana wa Kenya wakija...
  2. Idd Mpenda Amani

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya sio kwamba wanajielewa isipokuwa ni vijana wasio na Adabu; waliokata tamaa

    Eti vijana wa Kenya tumekata tamaa kwan umeskia tuna ugonjwa upi unaofanya tukate tamaa ya kuishi au unataka tuwe tunaimbia serikali muda wote, mama zetu walimuimbia moi na Kenyatta ila sisi watoto wa kibaki hatuwezi muimbia Rais yeyote maana sisi ndo tumemuajiri tumemchagua kwa Kura zetu...
  3. Idd Mpenda Amani

    JamiiForums Tanzania Kwa thamani ya Tanzania niwafurahishe wakenya?, CHADEMA kuna mahali mnakosea sana

    kwan Mwangi alipofika tanzania alisema Nini kuhusu Samia ndo tuseme ametekwa na kuteswa Kwa kumdhalilisha samia??
  4. Idd Mpenda Amani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kenya yatanua hadi Ivory Coast

    Kwavyo wanaozirai kwa njaa huko manyara na Arumeru sio watanzania?
  5. Idd Mpenda Amani

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Vipi kuhusu kilimanjaro
  6. Idd Mpenda Amani

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Ebu kwanza, mlizima kilimanjaro au tuwape ndege ya kuzima
  7. Idd Mpenda Amani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya becomes the second African country after South Africa to own salvage boat

    Kenya baba lao
  8. Idd Mpenda Amani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kenya yatanua hadi Ivory Coast

  9. Idd Mpenda Amani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaondoa marufuku ya safari za ndege kutoka Dubai

    Mngekua na uwezo wa kufikiria mngekuwa kama hao waarabu, lkn mko Zero brain ndo maana mko pale pale enzi za mkoloni mweupe
  10. Idd Mpenda Amani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yanyakua soko la Uganda toka Kenya kutokana na Kenya kuanzisha ugomvi wa kibiashara na Uganda

    Watanzania mbona mnaongea mengi.
  11. Idd Mpenda Amani

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Huenda ya KANU nchini Kenya yakaikumba CCM

    Wakati wa KANU mpaka Chifu alikuwa na nguvu kuliko Mkuu wa Jeshi yaan akiitana mkutano alafu ugome kufika utajuta.
  12. Idd Mpenda Amani

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni: Mungu ana kazi nyingi, hawezi kuwa tu hapa Uganda akiwaangalia wajinga

    Museven acha kumdharau Mungu, magufuli ako sahihi
Back
Top Bottom