Recent content by Idara nyeti

  1. I

    Ndoa ni sanaa ya maigizo na kiwanda cha mauzauza

    Naendelea na wito wangu wa kufanya mgomo usio na kikomo wa kuoa, hapa nawaomba wanaume hasa wanaojielewa kuendelea kuwasusia kuwaoa tuwapashe matobo tu tule nduki ndefu.. huko kwenye ndoa nishasema ni gereza la maisha na huko wanaume wanasoteshwa zaidi ya washukiwa wa ugaidi guantanamo wanaishia...
  2. I

    Nilizaa na mke wa mtu, anataka kunidhulumu mtoto

    Wadau wa humu JF habari za harakati na mapigo ya ada za January hii Niende kwenye topic moja kwa moja... nilizaa na mke wa mtu tena wa rafiki yangu kwa siri na kwa makubaliano kwamba akifikia umri fulani wa kujitambua mama yake afanye whatever possible kum-link na mie baba yake halisi. Mtoto...
  3. I

    Tuliosoma Kigoma Sekondari Miaka ya 2006, 2007, 2008 na 2009 tujuane hapa

    Katika pitapita zangu mjini si nikakutana na mchette akiwa kwenye mishe zake akaniita 'we idara nyeti upo kijana wangu mtukutu nikamwambia mie saivi mtukufu nikakumbuka long maisha ya Kigoma sekondari nikaikumbuka Coy b..nikapakumbuka Kamala, nikamkumbuka mzee Mwingira, nikapakumbuka foko. Ebu...
Back
Top Bottom