Recent content by Id x

  1. Id x

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ahsante mze.. na nakubali hakuna kuvimba.
  2. Id x

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mwezi wa kumi na moja
  3. Id x

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Napita hapa kutoa shukrani kwa wote wanaoendelea na waliochochea kutupa watu moyo tuendelee kuongeza received humu. Nami Mwenyezi Mungu ameamua wakati wangu umefika. Nashukuru Mungu nimeitwa Dodoma kuchukua barua. Nilianza mchakato wa kupambania ajira tangu mwaka 2021, bahati mbaya sikuwa na...
  4. Id x

    Naomba ushauri nifanyeje, Kutatua tatizo?

    Unahitaji matibabu yaitwayo physio therapy. Jaribu kuulizia kwenye hospitali za huko ulipo kama wanatoa. Kama hakuna hospitali fanya namna uje Dar kwaajili ya matibabu. Huku kuna hospitali kama Muhimbili na Bochi ambazo kwa ufahamu wangu wanatoa hiyo tiba.
  5. Id x

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Chief sijui ulishapata majibu.. ila kiufupi online aptitude test za private huwa hazina mambo mengi.. Ni unatakiwa uwe na kompyuta yenye internet safi na isiyokatakata.. Then upate eneo lenye utulivu ukae kufanya bila kusumbuliwa na mtu yoyote wala distraction nyingine zozote za kimaisha.. Test...
  6. Id x

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    WCF maswali yalikuwa yanataka huwe na uelewa mwingi wa taasisi inajihusisha na kitu gani.. Mengineo ni ya kuelezea..ku explain kadhaa.. Tunasubiri majibu hapa.. Mwenyezi atuonyeshe njia
Back
Top Bottom