Recent content by icon_07

  1. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kuendesha maisha

    Habari wanaJF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, elimu yangu ni bachelor degree in Logistics and Transport Management, naomba nafasi ya kazi yoyote ile itakayosaidia kuendesha maisha
  2. I

    JamiiForums Tanzania KWELI Mashine za Kunyolea nywele zinaweza kusambaza VVU

    Kwenye suala la angle kukatwa ni asilimia 90, ukitaka kufahamu hili sikilizia maumivu baada ya kupaka ile dawa wanaita "spiriti"
  3. I

    JamiiForums Tanzania KWELI Mashine za Kunyolea nywele zinaweza kusambaza VVU

    Wazee wa kuzingatia "Angle" uzi huu unawahusu. Serikali yetu kupitia wizara ya afya imekua ikitumia jitihada kubwa sana katika kuhakikisha maambukizi ya VVU yanapungua nchini. Moja ya jitihada hizo ni utoaji wa elimu kwa jamii namna mbalimbali za kujikinga na maambukizi hayo, mfano kuepuka...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mashine za kunyolea saluni huchangia kuenea kwa VVU?

Back
Top Bottom