habari wanajamii nianze na kusema kwamba nipo humu ndani ya jamii hii kwa ajili yakutoa msaada leo nimekuja na habari mpya.napenda niwaeleze kuwa kwa mtu yeyote yule ambae ana miliki pc (computer) iwe desktop,laptop,surface,windows mobile phones(nokia lumia, htc nk)kama unamiliki hivyo vifaa...