Recent content by ica

  1. I

    House4Rent Nyumba bora za Ghorofani za kupanga za kisasa zinapangishwa Kinondoni

    Nyumba nzuri na zina mvuto na mwonekano mzuri wa kupendeza zikiwa na vyumba viwli vya kulala, jiko, sebule na mahala pa kula. Kodi TZS 750,000 kwa mwezi. Kuziona piga simu au whatsapp +255755312233
  2. I

    Car4Sale Toyota IST for sale

    Angalia vizuri maelezo bei ipo hapo
  3. I

    Car4Sale Toyota IST for sale

    Details Price: negotiable Yes Condition: Used Abroad Current location: In Tanzania Import duty paid: Yes Transmission: Automatic Descriptions Toyota IST unregistered or chassis number for sale Rims sports, full body kit and mixed colors available 1290cc or 1490cc engine capacities are also...
  4. I

    House4Rent Nyumba za Apartment nzuri kwa bei nafuu zitakuwa tayari hivi karibuni!

    Nyumba bora za ghorofani, zinavutia na za kisasa. Nyumba zipo eneo tulivu la mbezi juu, wapangaji wanne wa kwanza watapangishwa katika nyumba ambazo ukiwa sebuleni au katika varanda unatazama bahari ya hindi. Nyumba zitakua tayari kwa ajili ya kupangishwa ndani ya siku 30. Maandalizi ya...
  5. I

    Nyumba ya ghorofa Inahitajika kununuliwa

    SIFA: Iwe haijakamilika (half-built/PAGALA).Iwe ina vyumba vinne vya kulala.Iwe imejengwa katika kiwanja ambacho kimepimwa na kina hati miliki. Kiwanja chake kiwe na ukubwa usiopungua mita za mraba 700. Nyumba iwe maeneo ya Boko, Bunju, Mbweni, Mivumoni au kigamboni. Bei ya mauzo isizidi 110mil...
  6. I

    Nyumba ya ghorofa Inahitajika kununuliwa

    SIFA: Iwe haijakamilika (half-built). Iwe ina vyumba vinne vya kulala. Iwe imejengwa katika kiwanja ambacho kimepimwa na kina hati miliki. Kiwanja chake kiwe na ukubwa usiopungua mita za mraba 700. Nyumba iwe maeneo ya Boko, Bunju, Mbweni, Mivumoni au kigamboni. Bei ya mauzo isizidi 110mil. Kama...
  7. I

    House4Rent Stand-Alone House for Rent in Upanga

    A free-standing residential or can be used as an office is available for rent. The house has three an suits bedrooms, living room extended to dinning area, guest toilet, close-up kitchen and two maids rooms of standard standing on its own outside the main house. Price TZS 1900000 If you are...
Back
Top Bottom