Recent content by Ibwe

  1. I

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape unajisikiaje kuona uliyemuita "kiroboto" akiteuliwa kuwa Balozi?

    Pole mpe matumaini
  2. I

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape unajisikiaje kuona uliyemuita "kiroboto" akiteuliwa kuwa Balozi?

    Na hilo ndio linaenda kutokea 2025 acha wamshangilie hawajui kuwa ng'ombe ndio kafikishwa machinjioni anasubiriwa sheikh
  3. I

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli atabaki msingi mzuri wa mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kijamii kwa vizazi vijavyo.

    waache wafu watukuze wafu wao
  4. I

    JamiiForums Tanzania CCM mmeteua au mmepinduana?

    kama walivyokuwa Wazilankende enzi zile ha ha! Mambo ni kangaja huenda yakaja mwambie akaribie kijiweni wenzake tushapazoea ha ha ha!
  5. I

    JamiiForums Tanzania CCM mmeteua au mmepinduana?

    kama walivyokuwa Wazilankende enzi zile ha ha! Mambo ni kangaja huenda yakaja
  6. I

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mdude Nyagali hatma ni leo

    Unateseka ukiwa wapi mkuu?
  7. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia uliaminiwa na Magufuli. Je, wewe huwaamini walioaminiwa na Magufuli?

    Poleni wananzengo mlisahau kuwa kila masika ina mbu wake dah
  8. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia uliaminiwa na Magufuli. Je, wewe huwaamini walioaminiwa na Magufuli?

    ha ha ha! kuna watu vitu vinagonga kwenye boksa, walijua nchi hii mali yao wakaanda kuelekea utawala wa kifalme lakini MUNGU ni mwema sana kawahurumia watanzania
  9. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia uliaminiwa na Magufuli. Je, wewe huwaamini walioaminiwa na Magufuli?

    Katiba inasemaje?
  10. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia uliaminiwa na Magufuli. Je, wewe huwaamini walioaminiwa na Magufuli?

    Ukweli ni kwamba kuna kundi linaelekea kupoteza mlo ndio chanzo cha yote haya "mchungaji keshapigwa kondoo wanatawanyika"
  11. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia uliaminiwa na Magufuli. Je, wewe huwaamini walioaminiwa na Magufuli?

    Unampangia cha kufanya? bado yupo sahihi kikatiba, kwahiyo ya kutengua wote ni matamanio yako yeye kaamua kufanya marekebisho ya ndani kwa ndani ndio maana unaona wengi wamehamishwa tu toka sehemu moja kwendanyingine hivyo bado anawaamini mkuu
  12. I

    JamiiForums Tanzania Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

    Kweli Mkuu mdomo hutapika kilichoko moyoni uzinzi umemjaa hivyo kwake Guest House zipo kwa ajili ya wazinzi na sio wageni katika maeneo zilipo
  13. I

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagoza: Ukisomeshwa na Kanisa halafu ukahamia Serikalini nani ataifungia Serikali?

    Wanufaika wa mkopo huwa wanarejesha mikopo yao kupitia makato ya kila mwezi kwenye mishahara yao bila kujali kuwa wameajiriwa serikalini au kwenye sekta binafsi.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Bagonza: Kuna dalili za kuliangamiza Taifa kwa sababu watu wanaamini uongo na kumchukia mtu anayesimamia ukweli

    Nabii Samweli alimuonya sana Sauli juu ya mwenendo wake mbaya lakini Sauli akashupaza shingo yake na mwishowe alikufa kifo cha aibu.
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

    Naona ndio umetoka kupokeoa chandarua cha ule mradi wa kwa hisani ya watu wa Marekani
Back
Top Bottom