Recent content by Ibumalo

  1. I

    Ukweli mchungu kwa Wana CHADEMA; MBOWE anapaswa kupumzika

    Mimi si mwanachadema na wala sina chama lakini kwa hilo nakuunga mkono. Msigwa kasema mengi ambayo ukweli wake wanaujua wanachadema na viongoxi wenzake lakini kwa uzito wa hizo shutuma ingekuwa jambo la kingwana kwa Mbowe kukaa pembeni na kupisha uongozi mwingine na ikiwezekana uchunguzi...
  2. I

    Hivi Freeman Mbowe anajisikiaje kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa chama chake?

    Mbona unaonekana kikerwa sana na uwenyekiti wa Mbowe CHADEMA?
  3. I

    Kauli ya Lissu ya Rais Mzanzibar ni matokeo ya kufumba masikio Tanganyika kuwa na Serikali yake na viongozi wake watakaoamua mambo yao, asilaumiwe!

    Uongozi wa Samia ndio tumeona wazanzibari kuteuliwa kuwa maDC upande wa bara. Je mTanganyika anaweza kuwa DC Zanzibar?
  4. I

    CAG: Wastaafu na wenza wao wanaigharimu NHIF Tsh 84.7 billion kila Mwaka Bila Wao kuchangia

    Hawa ni Marais wastaafu ambao walikuwa wawili na sasa kabaki moja Kikwete na wenza wa Mwinyi, Makamu wa rais mstaafu mmoja Dr. Ghalib Bilal, mawaziri wakuu wastaafu walikuwa saba baada ya Lowasa wamebaki sita lakini tunagharimia mwenza wake Lowasa.. Walio hai ni Salim A. Salim, Msuya, Warioba...
  5. I

    Sakata la DP WORLD bado kizungumkuti, Mbunge Luhaga Mpina ahoji uhalali wa Mkataba Bungeni

    Katika bunge hili hakuna mwingine kama Luhaga Mpina. Kuna wakati huwa najiuliza hivi huyu ni mbunge wa CCM kweli! Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  6. I

    Ikiwa mkoloni hakumfunga Shaaban Robert, ndio kusema bora ya mkoloni kuliko Rais Samia?

    Waingereza walimenzi na kumtunuku nishani ya MBE yaani Member of the British Empire. Viongozi (watawala) wetu wanapenda sifa kukosolewa kwao ni uchochezi. Wao ni miungu watu hawakosei. Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  7. I

    Rais Samia anatakiwa kujitokeza hadharani kutuomba radhi watanzania kwa kuikashifu Katiba

    Rais wa Tanzania ni mungu mtu haiyumkiniki kwake kuomba radhi. Toka lini Mungu akaomba radhi. Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  8. I

    Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

    Inasikitisha sana kwa kiongozi wa nchi alieapa kuihifadhi na kulinda katiba akitoa kauli za kuidharau. Ni sawa na askofu kuidharau biblia au sheikh kuidharau Koran tukufu. Haishangazi kuona nchi inaendeshwa bila ya kufuata katiba.
  9. I

    Mbona Rais Samia kabadilika hivi!? Baadhi ya Mambo yaliyonichanganya sana kwenye hotuba yake leo!

    Yaani jinsi gani tutaweka na kuondoa uongozi, jinsi gani uongozi utawajibika kwa raia, kwani, na namna maslahi ya Kila mtu yatalindwa ndani ya nchi yetu. Sasa haya yanahitaji utuelimishe nini!? Mama anataka kutulazimisha aendelee kutuongoza bila ridhaa yetu. Anazingumzia wananchi kuburuzwa haoni...
  10. I

    Mbona Rais Samia kabadilika hivi!? Baadhi ya Mambo yaliyonichanganya sana kwenye hotuba yake leo!

    Kusema katiba mpya isiandikwe kabla ya elimu kutolewa ni sawa na kusema mwanafunzi alielimishwe kabla ya kujua kusoma. Nyere alipodai uhuru watanganyika wangapi walikuwa wanajua hata maana ya uhuru wenyewe? Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  11. I

    DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

    Ni kiinimacho hawataki lawama. Kilingana mkataba wa DTW wao watakuwa na mamlaka ya mwisho ya kumtangaza mshindi. TPA ni kipaza sauti tu. Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  12. I

    Waziri Mchengerwa na maamuzi ya ovyo ovyo!

    Sasa naelewa sababu Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  13. I

    Waziri Mchengerwa na maamuzi ya ovyo ovyo!

    Anafuata na kutii maagizo Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  14. I

    Yaliyofanyika Chato yatafanyika zaidi Kizimkazi, samaki ni wale wale kilichobadilika ni mapishi tu

    Kwani hujui kwamba hela ya budget inapangiwa na rais. Kama JPM aliweza kujenga uwanja wa ndege bila idhini ya bunge sembuse festival. Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  15. I

    Yaliyofanyika Chato yatafanyika zaidi Kizimkazi, samaki ni wale wale kilichobadilika ni mapishi tu

    Nasikia na hospital inagengwa huko wakati afya haimo kwenye orodha ya wazara za muungano. Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom