Recent content by ibrahimkione

  1. I

    CCM yavuruga uchaguzi wa Meya Kinondoni, Polisi waitwa

    Kama Ukawa jumla wana madiwani 36 na ccm wana 15 inamaana hao wakutoka Zanzibar wanazidi 21 mbona hesabu meya kwenda ukawa in zaidi ya rahisi
  2. I

    Rungu la TRA lafika BAKWATA, yapewa siku saba kuwasilisha nyaraka

    Kuna waziri mmoja wafedha alisema ktk binge LA bajet kwamba misamaha ya taasisi za kidini ifutwe mbona bunge lilitaka kupasuka leo vipi tena imekua pongezi
  3. I

    Rais Magufuli akutana na wafanyabiashara, atoa siku 7 kwa waliokwepa kodi kujisalimisha na kulipa

    Yale yale ya Epa. isiwe kodi pekeyake iwe kodipamoja na faini
  4. I

    ITV vs Rais Magufuli na CCM

    Kwangu Mimi hakuna TV zinazo nipa ukakasi kama TBC na (Star TV ya wakati Wa kampeni angalau sasa hivi Star TV wanarudi polepole
Back
Top Bottom