Recent content by Ibrahim Mungulu

  1. Ibrahim Mungulu

    JamiiForums Tanzania Sumaye kutangaza hatima yake kisiasa Jumapili Agosti 16

    duu hatari
  2. Ibrahim Mungulu

    JamiiForums Tanzania Waandamanaji kuteka barabara ya umma kwa nguvu ni sawa kijeshi?

    hivi unajua barabara nayo ni mali pia ya wananchi hivyo kuna muda anaweza akatumia kitu chake kwa muda fulani
  3. Ibrahim Mungulu

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu; Muongozo mpya kutoka TCRA kwenda Kwa Vyombo vya Habari

    Tanzania ndio sehemu pekee duniani ambako wasomi huenda hawana maana, cos ideas za watu zinapingwa na hao wanaojiita wasomi
  4. Ibrahim Mungulu

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa hatimaye aibuka

    being clitical brother is something nice
  5. Ibrahim Mungulu

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mzee Kisumo kijiji cha Ngujin Usangi, Alhamisi Tarehe 13 Agosti, 2015

    huwezi kumshusha lowasa kwa kuwa kaongozana na watu wengi kwenye msiba, kwani mbona kwenye mwenge mbona huwa bado wananchi huwa wanatangaziwa na watu wakasimamisha shughuli zao hali kadhalika kwenye msafara wa viongoz. lakini kwenye issue za upinzani watu wanahamasika wenyewe na kwa hiari huwa...
  6. Ibrahim Mungulu

    JamiiForums Tanzania Maadili CCM mashakani

    walimu wanahitaji nyumba bora, mazingira mazuri ya kufundishia, allowance za kutosha, ila laptop si mambo ya msingi sana na wala si kipaumbele
  7. Ibrahim Mungulu

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mzee Kisumo kijiji cha Ngujin Usangi, Alhamisi Tarehe 13 Agosti, 2015

    issue siyo kufanikiwa bt issue nauliza kuna sheria inayokataza idadi kubwa kwenda msibani?
  8. Ibrahim Mungulu

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mzee Kisumo kijiji cha Ngujin Usangi, Alhamisi Tarehe 13 Agosti, 2015

    sijui kama kuna sheria inayozuia idadi watu inayotakiwa/ kuruhusiwa kwenda msibani
  9. Ibrahim Mungulu

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Kafulila akamatwe mara moja

    wamelianzisha tena
  10. Ibrahim Mungulu

    JamiiForums Tanzania Tathimini ya Leo, Lowassa V/S Magufuli

    ccm ilafaa iondolewa ili ipumzike
  11. Ibrahim Mungulu

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    kawaida yao hao wamezoea
  12. Ibrahim Mungulu

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Natishwa

    sizani kama hili gazeti liko sawa sawa
Back
Top Bottom