Mimi yangu macho.Sioni kabisa mwafaka katika hili,kikwete kaja kutoa maelekezo kwa wabunge juu ya uandikaji wa katiba na sio kufungua Bunge,kashatoa msimamo wake na kuonya watakaotenda tofauti na msimamo wake na chama chake,sioni haja ya Bunge hili kuendelea kujadili katiba ili hali chama cha...
Kwa mbowe na lipumba nimeona wanadhamira kabisa ya kutuletea katiba,isipokuwa huyo wa ccm na msimamo wao sipati picha kabisa,lakini yupo lissu kamanda wa ukweli.
Mtoto lazma atambue uwepo wa baba,aheshimu pia taratibu za familia,matatizo ya familia hayatatuliwi nje ya familia tena kwa kuwaeleza watu wasiohusika na familia,mazungumzo baina ya wanafamilia hujenga Familia imara isiyoyumbishwa na maadui nje ya familia,ukimuona mtoto anakusengenya na maadui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.