Recent content by Ibrahim. H

  1. Ibrahim. H

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

    Kwani hujui kimuungano tunashirikiana kwa sheria 1. ya bandari ??
  2. Ibrahim. H

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

    Hatuna mashaka na utendaji wao wa kazi. Wapo vizuri mnoo. Tatizo letu ni huu mkataba unamaslai gani kwa taifa na mkataba ni wa miaka mingapi ?? Na kwanini iwe bandali zote Za TZ bara ?? Kama ni mkataba mzuri kwa nini na bandari za zanzibar zisijumuishwe ? Ili tupate manufaa zaidi ??
  3. Ibrahim. H

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ubelgiji nchi Tajiri Msafara wa Waziri Mkuu una magari 3 tu, Tanzania nchi maskini Msafara wa Rais una magari zaidi ya 200!

    Msafara wake yeye kwenda ikungi singida ulikuwa na magari mangapi ??
  4. Ibrahim. H

    JamiiForums Tanzania Wakati saruji Kenya ikiuzwa Tsh 12,000/=, Tanzania inauzwa Tsh 24,000/=

    Acha uongo bwa shee. Ivi sasa malori yote ya zambia yaliokuwa yanafuata mafuta beira. Yamehamia Tz kwa kuwa bei ya mafuta ipo chini. Nenda kurasini ukajionee wazambia walivyojaa pale kwenye madepo ya kupakilia mafuta
  5. Ibrahim. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini NSSF isiwe na tawi la bank kusaidia wateja wake?

    Bonge la wazo aisee
  6. Ibrahim. H

    JamiiForums Tanzania Giuliani kaitolea mfano Tanzania kwamba, waangalizi huwa hawatolewi nje ya vyumba vya kuhesabia kura

    Kwa maana hiyo neno. Demokrasia litakuwa na maaana gani ?? Mbona huheshimu fikra na uhuru wa mtu kikatiba ??? Nimeamini kwa nini. Mungu hatii baraka zake kwenye harakati zenu za kutaka kushika dola kumbe mmejawa na roho za kishetani ndani yenu
  7. Ibrahim. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kutinga Chato keshokutwa

    Kwaiyo ata mbowe ni mbwa koko ?? Bwa shee
  8. Ibrahim. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 TBC, sasa tumewachoka kwelikweli, mnachochea hasira kubwa msiyoweza kuizima

    Kumbe bado mnaiangaliaga ??? Si mlisema hamuitazami tena ?? Mmefuata nini huko
  9. Ibrahim. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

    Mkiona katiba ya Kenya ni bora kuliko ya Tz. Fanyeni muhamie Kenya katiba yetu ya TANZANIA inaruhusu mtu kuukana uraia wake
  10. Ibrahim. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

    Dada etu. Halima. Imefika wakati sasa wa kukaa nyumbani azae na alee watoto wake
  11. Ibrahim. H

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

    Apo Iringa ?? Bwa shee we ni wa nchi gani ???
  12. Ibrahim. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

    Nauliza tu. Kesho si nisikuku ya NANE NANE OFISI ZITAKUWEPO WAZI ???
  13. Ibrahim. H

    JamiiForums Tanzania Ndege za Tanzania zapigwa marufuku kutua viwanja vya Kenya kutokana na janga la Corona

    Kumbe kumuamini Mungu ni kuamini miujiza ya kijinga. Bwa shee??
  14. Ibrahim. H

    JamiiForums Tanzania Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

    Vipi na ile kampeni yenu ya kuvunja laini za Vodacom iliishia wapi. ?! Bwa shee
  15. Ibrahim. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Naweza kufanya kazi yoyote ambayo haijakatazwa kibiblia, Mungu alijitambulisha kwa majina tofauti!

    Kwani mchungaji. Msigwa anatumikia mabwana wangapi ??
Back
Top Bottom