Search results

  1. Ibrah

    Muujiza wa Kwanza alioufanya Yesu ni kubadili maji kuwa divai. Kwanini Makanisa mengi yanahubiri kuwa pombe ni dhambi?

    Habakuki 2 15 Ole wake yeye ampaye jirani yake kileo, wewe utiaye sumu yako, na kumlevya pia, ili kuutazama uchi wao! Sidhani kama divai uliyonukuu ilikuwa na kileo. Kumbuka kuwa divai ya Yesu ilikuwa ya awamu ya pili baada ya ile ya kwanza kuisha.
  2. Ibrah

    Ninauza kisimbuzi cha Startimes

    Wadau, salaam! Ninauza kisimbuzi cha Startimes kile walichoingiza sokoni kwa mara ya kwanza wakati wa Kombe la Dunia South Africa mwaka 2008. Mtakumbuka wakati ule walituuzia shilingi 70,000/- . Bei ninayouza ni Tsh 40,000/- tu. Kisimbuzi kinafanya kazi na hakijawahi kufunguliwa wala kufanyiwa...
  3. Ibrah

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Changanyikeni Kisiwani njia ya kwenda Kanisa la AICT umeme haupo tangu jana usiku. Walituambia mafundi wanashughulikia lakini uliporufu ni nyumba chache tu ndio walipata umeme. Leo saa 5 asubuhi ulirejea lakini ilipofika saa 9 alasiri ulikatika tena hadi sasa haujarejea. Ibrahimu 0787377511
  4. Ibrah

    House4Rent Nyumba inapangishwa Kisota Kigamboni

    Nyumba ya vyumba 3 self contained inapangishwa Kisota-Kigamboni barabaraya Damian do Amsi. Nyumba imeungana na nyingine 3 ambazo zinatumia geti moja, kila moja ina mita yake ya luku ila maji mna-share (mita moja nyumba mbili). Ina master bedroom na vyumba viwili vya kulala, jiko, dinning na...
  5. Ibrah

    Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

    Hii hospitali wanatibiwa wafanyakazi wa Usalama wa Taifa na hata familia zao, ni kama hospitali nyinginezo za majeshi, tofauti ni kuwa miaka michache iliyopoita wamejenga wodi ya VIP ambayo Mkapa na Sita walifia hapo.
  6. Ibrah

    Kisheria, kifo cha Rais hutakiwa kuombolezwa siku 21 na sio siku 14

    Na hili wanapaswa kulifanyia kazi mapema iwezekanavyo, Samia, atangaze kuongeza siku za maombolezo vinginevyo Watanzania watanza kuhoji uwezo wake wa ku-react inapotokea maswala ya kufanyia kazi kwa haraka kama haya.
  7. Ibrah

    Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

    Ugonjwa mpya ulioingia na ambao kwa bahati mbaya hata wasomi wanauamini ni kuwa kila kifo kinachotokea sasa ni COVID19, kana kwamba magonjwa mengine hayapo, kana kwamba mwanadamu hatakufa kama hakuna magonjwa. Vv
  8. Ibrah

    Zaidi ya miaka mitatu hakuna wateja; mnashindwa kubadili matumizi ya jengo?

    Wangeipangisha hata UDSM ili watumie kama madarasa na maofisi au hata hostel za wanafunzi maana pale ni karibu sana na UDSM Vv
  9. Ibrah

    Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

    E FM siyo social media kama JF, Bujibuji. Vv
  10. Ibrah

    Plot4Sale Premier Plot For Sale at Mwongozo Kigamboni

    Kiwanja kizuri kinauzwa Mwongozo, Kigamboni karibu na nyumba za NSSF na NHC. PLOT DETAILS Plot no: 336, kinayo hati ya miaka 99 (attached) Location: Mwongozo, Kigamboni; Karibu na nymba za NSSF na NHC; Kiwanja kimezungukwa na barabara pande zote, kinafaa kwa matumizi ya biashara kama ujenzi...
  11. Ibrah

    Swali kuhusu ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma,

    Umeuliza swali nililojiuliza nikaishia kuona aibu mwenyewe. Ukweli ni kuwa Morocco ni 'masikini' tu kama sisi ila wamefanikiwa kutumia vizuri raslimali zao. Uchumi wa Morocco unategemea utalii kwa kiasi kikubwa, hawana mafuta kama wenzao wengine wa kaskazini mwa Afrika. Sent using Jamii Forums...
  12. Ibrah

    Nyumba inapangishwa Kisota, Kigamboni.

    Nyumba ya vyumba 3, yenye master bedroom 1, choo cha ndani, dinning, sitting na jiko. Kila chumba kina kabati la nguo. Inapangishwa Kisota, Kigamboni, kilometa 8 kutoka Feri ( kilometa 6 Feri-Maweni, Kilometa 2 Maweni-Kisota), ina umeme (Luku) na maji. Pia kuna water reserve tank. Imo ndani...
  13. Ibrah

    Kardinali Pengo asema bado kuna akina Herode uchwara duniani!

    Watumishi wa Mungu hawatakiwi kuogopa mtu wala kufungamana na upande wowote, ndiyo yao iwe ndio, siyo yao iwe siyo.
  14. Ibrah

    Tundu Lissu kufanya mahojiano na Azam Tv tarehe 01, Januari 2018

    Mahojiano ya Azam TV na Lisu yatakuwa saa ngapi?
  15. Ibrah

    5 Acres Plot for Sale at Iyumbu Estate Center, Dodoma

    Hata Maili mbili au Msalato unaweza kupata. Unaweza kuweka morgage shamba la Nala? Ok ukianza utaratibu wa kupima hadi kupata hati, ekari moja ya huko Nala itakugharimu kiasi gani? Ukiweka kitega uchumi kama shopping malls au supermarket, wanakijiji wa Nala ndio watakuwa wanunuzi wako wakuu...
  16. Ibrah

    5 Acres Plot for Sale at Iyumbu Estate Center, Dodoma

    Hata Maili mbili au Msalato unaweza kupata. Unaweza kuweka morgage shamba la Nala? Ok ukianza utaratibu wa kupima hadi kupata hati, ekari moja ya huko Nala itakugharimu kiasi gani? Ukiweka kitega uchumi kama shopping malls au supermarket, wanakijiji wa Nala ndio watakuwa wanunuzi wako wakuu?
  17. Ibrah

    5 Acres Plot for Sale at Iyumbu Estate Center, Dodoma

    Wewe una ngapi? Tangazo liko wazi kuwa mazungumzo yapo, usihofu.
  18. Ibrah

    5 Acres Plot for Sale at Iyumbu Estate Center, Dodoma

    Hizo factors ndizo zinazo-dermine bei ya soko hapo Iyumbu, ,kuwa karibu na UDom ni factor nyingine, barabara ya kutoka Dar inachepukishwa kule. Plot iko opposite na NHC Iyumbu estate, mmiliki atatumia barabara inayoingia NHC Iyumbu estate, maji atachukua bomba linaloingia NHC na hata umeme...
  19. Ibrah

    5 Acres Plot for Sale at Iyumbu Estate Center, Dodoma

    Utapata wapi ekari 5 za pamoja na utazifanyia nini? Waonahitaji kuwekeza hilo eneo ni zuri, sio kwa ajili ya makazi. Hata hivyo mazungumzo yapo.
  20. Ibrah

    5 Acres Plot for Sale at Iyumbu Estate Center, Dodoma

    Nyumba moja ya NHC Iyumbu estate inauzwaje?
Back
Top Bottom