Recent content by Ibrah ole kadabrah

  1. I

    Kigoma: Mwalimu Mkuu aliyedaiwa kumpa mimba mwanafunzi aachiwa huru. Mwanafunzi adai hamjui aliyempa mimba

    Mwalim mkuu wa shule ya msingi huko kigoma jana ameachiwa huru na mahakama baada ya kukutwa hana hatia katika kesi iliyokuwa inamkabili mahakamni hapo. shahidi ambaye ndiye mwanafunzi mwenyewe alisema mbele ya mahakama kuwa hamkumbuki mtu aliyembaka na kumpa mimba pia amesema umri ulioandikwa...
  2. I

    Watu dhaifu hawajawahi kujenga Taifa imara

    Tangia Dunia imeumbwa hakuna Taifa lolote lililowahi kukuwa au kujengwa na watu dhaifu tangia ulaya ya kale, mesopotamia, hadi Roman empire Ukiangalia kwa undani Dola zote hizi zilijengwa na watu shupavu kweli kweli kutoka kwa viongozi had wananchi kwa ujumla kwenye Biblia kuna kisa cha mji wa...
  3. I

    Wanafunzi wa darasa la saba wanatarajia kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kesho

    Wanafunzi 947,221wa darasa la saba kutoka shule 17,051 za Tanzania bara, wanatarajia kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi leo Jumatano na kesho Alhamisi sept 12, 2019 kati ya watahiniwa hao wavulana ni 451,235 sawa na asilimia 47.64 na wasichana ni 495,986 sawa na asilimia 52.36. Katibu...
  4. I

    Sema kweli, nayo kweli itakuweka huru

    Hakuna dhambi na wala sio dhambi kusema ukweli ila kinyume chake tu. Kwanini nimeanza na na sentesi hiyo hapo juu kwanza hakuna mwanadam yoyote chini ya jua aliyekamilika sote tu wapungufu japo mapungufu hayo tunatofautiana kama hivyo ndivyo bas mkamilifu pekee ni MUNGU tu. inashangaza na...
  5. I

    Rais Magufuli azungumzia sauti za viongozi waliomteta. Awataja January Makamba na Ngeleja, awasamehe

    watu wenye mtazamo hasi ndo wataona au wanaona hichi kilicho fanyika ni kitu kidogo sana lakin hichi ni kitu kikubwa sana..... ukiangalia wanaopinga hichi kitu hata wao wameshindwa kutoa msamah kwa walio wakosea so wanapoona mwenzao amesamehe wao roho zina wauma sna maana hichi kitu kinapatikana...
  6. I

    Rais Magufuli azungumzia sauti za viongozi waliomteta. Awataja January Makamba na Ngeleja, awasamehe

    Msamaha sio kitu ambacho kila mtu anaweza kutoa hapana ni kitu ambacho adimu sana miuongoni mwa sisi wanadam tuishio chini ya jua na io maana baadhi ya wanafalsfa na wasomi wana sema 'Neno msamaha ni msamiati ambao unapatikana ama kutolewa na mwanaume jasiri maana yake huwez toa msamaha kama...
Back
Top Bottom