Recent content by IBRA wa PILI

  1. IBRA wa PILI

    Jinsi ya Kuanzisha Biashara ya Dhahabu Ukiwa na Mtaji wa Milioni 2

    Hapo kwa Sasa ni gram 3 na point Yani ki ufupi Bado saaaaaaana mkuu
  2. IBRA wa PILI

    Baada ya kutoka Msumbiji nikiwa sina kitu nikarejea Tanzania nyumbani safari mpya nyingine ikaanza

    Kitu ambacho siku elezea ni hiki watu watambue siishi home nilisepa. mama angu mkubwa, bwana ake ambae ni baba mkubwa ana gesti mahali ivyo basi kutokana na bi mkubwa kutumia busara zake kwamba wife akae pale home kwanza. Mi ilibidi nisepe nikaenda kukaa zangu gest kwa baba mkubwa sikutaka...
  3. IBRA wa PILI

    Baada ya kutoka Msumbiji nikiwa sina kitu nikarejea Tanzania nyumbani safari mpya nyingine ikaanza

    Kwamba mambo kama haya dingi akatoka nduki upuuzi huu Ukisikikiza ile mistari ya lucky dube Dingi alitoa ahadi atarudi lakin mpaka muda huo akuna hata alama yake Alafu mama alisikia huko aliko kaoa Tena na ikapelekea mama kufariki kwa ugonjwa wa moyo.........
  4. IBRA wa PILI

    Baada ya kutoka Msumbiji nikiwa sina kitu nikarejea Tanzania nyumbani safari mpya nyingine ikaanza

    Kwamba Nimetoa pesa nyingi kumlipia madeni na ayajaisha alafu hati ya uwanja ni uwanja uuzwe ili madeni yalipwe sio yangu kama unavyozani ok amini ivyo acha niendelee kula uhondo 😄😄😄
  5. IBRA wa PILI

    Baada ya kutoka Msumbiji nikiwa sina kitu nikarejea Tanzania nyumbani safari mpya nyingine ikaanza

    Ok labda umeona ivyo kwa upande wako mkuu ila ivyo nilivyofanya ni ile tu mzazi mwenzangu sio kingine kwa Sasa ni big no
  6. IBRA wa PILI

    Baada ya kutoka Msumbiji nikiwa sina kitu nikarejea Tanzania nyumbani safari mpya nyingine ikaanza

    Mhm ni ngumu labda kama yangekua madeni pekee sawa Ila mtoto sio wangu namsamehee vipi kikawaida Nisha msamehe mpaka kajifungua yupo home.
  7. IBRA wa PILI

    Baada ya kutoka Msumbiji nikiwa sina kitu nikarejea Tanzania nyumbani safari mpya nyingine ikaanza

    Tuendelee Baada ya kuongea nae na kunipa habari za uwanja, nikaenda home kweli akanikabidhi ile hati ya uwanja ili nitafute mteja uwanja uuzwe nilienda mpaka kwenye uwanja na rafiki angu mmoja Nika ucheki ulikua pazuri tu. Jioni nimerudi maskani tupo tunakula wife nikamwambia maisha haya...
Back
Top Bottom