Wanaume acheni USALITI!!! Mnahangaika na nini??? Mnawaletea matatizo wake zenu na watoto wenu kwanini lakini?? Wake zenu wanapita mabarabarani wananyooshewa vidole maana mume wake anajulikana utupu wake na wanawake kibao, kwanini lakini mnawafedhehesha wake zenu jamani?? kama bado mnapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.