Recent content by Ibnuyawar

  1. Ibnuyawar

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye ufahamu wa balance shaft 2AZ engine.

    Me ninazo hzo dukan hizo zinakuwa 8
  2. Ibnuyawar

    JamiiForums Tanzania Spare parts Honda Crossroad

    Agiza Bei gan nikupe uniletee
  3. Ibnuyawar

    JamiiForums Tanzania Spare parts Honda Crossroad

    Mpe namba yangu aje 0653527433
  4. Ibnuyawar

    JamiiForums Tanzania Spare parts Honda Crossroad

    Kuwa nazo na ww kama unaona rahisi
  5. Ibnuyawar

    JamiiForums Tanzania Spare parts Honda Crossroad

    Habar maboss poleni majukumu Spare za honda crossroad zipo dukan kwa sasa Nimeshusha 100pcs za shock up mbele jana na mpaka sasa zimebakia 20pcs nunua weka akiba kwa ajili ya gari yako maana zikiisha upatikanaj wake mgumu Kyb japan katoa lakin kazikosea juu kweny shaft mpaka upeleke...
  6. Ibnuyawar

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuifahamu Honda Crossroad

    Boss spare ya hii chuma ninazo dukani 0653527433
  7. Ibnuyawar

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Spare mpya za Magari ya Kijapani

    Mpya kipusa boss Amna ya gari hyo
  8. Ibnuyawar

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Spare mpya za Magari ya Kijapani

    Ina engine gan K6 au ??
  9. Ibnuyawar

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Spare mpya za Magari ya Kijapani

    90,000 Kwa mbili
  10. Ibnuyawar

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Spare mpya za Magari ya Kijapani

    150,000/= mpaka 140,000/= used lakn
  11. Ibnuyawar

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Spare mpya za Magari ya Kijapani

    Ni wewe tuh boss kama una mtu dar unampa Namba zangu aje kuchukua dukani Au unaweza kutuma pesa tukakutumia kwa basi Ikufikie ilipo
  12. Ibnuyawar

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Spare mpya za Magari ya Kijapani

    Yote kazi ni moja ispokuwa inategemea na engine yako imekujaje ila iyo ambayo haitumii umeme ipo vzur sana inapoza sana ata wanaouza Engine Wanazitoa ambazo sio za umeme waweke za umeme ili kidog wapate faida kwaio ni ww tuh boss wangu Wewe na uwezo wa mfuko tuh
  13. Ibnuyawar

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Spare mpya za Magari ya Kijapani

    Ya umeme 200,000/= kama sio ya umeme 350,000/=
  14. Ibnuyawar

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Spare mpya za Magari ya Kijapani

    Ina engine gan ???
  15. Ibnuyawar

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Spare mpya za Magari ya Kijapani

    Booster 100,000/=
Back
Top Bottom