Recent content by ibn uthman

  1. ibn uthman

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Akhiy may Allaah guide you and those like you to the right path and the correct methodology too. What am I seeing here with the third eye is that,There's some kind of deficiencies in fundamentals of the religon and a tremendous fault with you in understanding the nuus/proofs and utilising them...
  2. ibn uthman

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Swadakta mkuu unbelievable, Kutokana na hali halisi iliyoko hapa nchini kwetu bila kuuma ama kumun'gunya maneno, ni kweli chungu tena iliyo wazi na bayana kabisa kuwa ummah wa kiislam wa Tanzania hauhitajii hata chembe uwepo mahakama ya kadhi kwa sasa as the main and the best successive and...
  3. ibn uthman

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    P Akhiy May Allaah guide you, The statement that which you have just said, has no any basis in Islam, meaning there's neeither established proof for it from maswaadiru(Qur'an,sunnah,ijmaa not even qiyaas) nor any qaul of ahlul 'aqd wan-naqd(prominent guided and guiding scholars of Islam).But...
  4. ibn uthman

    Kwanini mabasi yanayosafirisha abiria Dar - Morogoro hayana ratiba maalumu?

    Tribalism at work!!! Naona hizo sasa ni chokochoko za kichokozi ati... Ngoja wenyewe wapite mtaa huu lol!
  5. ibn uthman

    Wasomi zaidi ya 100 wamejaa Nyumbani kwa Lowasa Dodoma asubuhi hii

    Hee nimekosea njia kumbe ati, :eek::eek::eek: ngoja nitambushe haraka tena kwa speed.
  6. ibn uthman

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Maashallaah,jazakallaahu khayran wa baarak Allaahu fiik kwa kutoa dalili kwani ndio msingi mkuu kama alivyotia baab al imaam al bukhariyyu rahimahullaah fi saheehihii "Baabul 'ilm qablal qaul wal 'amal" wamuraadul 'ilm hunaa -al 'ilmun-naafi'a ya'nii al ma'rifatullaah, wama'rifatu nabiyyuhu...
  7. ibn uthman

    Taasisi ya "Usheikh'' na fani ya uigizaji Tanzania

    Mzee wetu Shaykh Mohamed Said barak Allaahu fiik, Hao wanonasibishwa/kujinasibu ati na "U-Shaykh" kesha kufanza huo ubahau wao pasi haya, hofu,woga wala kificho kwa 'adala/uadilifu na ahkaam za kiislam nadhani wangia/wako katika hali moja kati ya hizi mbili; 1.Aidha ni majuha/wajinga...
  8. ibn uthman

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Nadhani takutosheleza na hadith ya mtume sallallaahu alaihi wasallam fi saheehain ilopokelewa na sahaabil jaliil Anas bin Maalik kama sijakosea, Mtume salallaahu alayhi wasallam yuasema "Iyyaakum wadhwanna, fainnad-dhwanna akdhabal hadeeth, walaa tahassasuu, walaa tajassasuu,wala tabaaghadhuu...
  9. ibn uthman

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Swadakta mkuu. Nadhani sina cha kuongezea hapo,maneno yako yamejitosheleza kabisa... Ahsant.
  10. ibn uthman

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Ahsant mkuu, Muumba akupe hekima pia nawe na akupe upeo na utambuzi wa kuzidi ifahamu haqq na kweli na akupe nguvu na uwezo wa kuifuata na kutekeleza kwa ufanisi na usahihi. Lakini pia hongera kwa kunishushia maandiko, Ingawaje pia haijaleta tija mno kwakua kama nilivyoanisha hapo awali ati...
  11. ibn uthman

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Shukran sana kwa uchambuzi na maelezo yako mkuu,lakini pia shukrani kwa kunitakia baraka ingawaje mie kwa mujibu wa imani yangu naamin si Yesu tu pia mtume na yeyote ktk viumbe hawezi nibariki wala mbariki yoyote yule awae daaiman abada.Kwani huo ni uwezo na kazi ya Muumba pekee.(Natumai...
  12. ibn uthman

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Wamaanisha hao maadui wa Mwenyezi Mungu ni salafiyyun??? La haula walaa Quwwata illaa billaah. Lakini wajua mie sikulaumu mno weye akhiy kwa huo msimamo wako ati na nnamuomba Mwenyezi akuongoze na akutoe huko, pia kwa dhati kabisa naegemeza masikitiko makubwa kwa wanojiita na kujinadi ati...
  13. ibn uthman

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Hahahaha ha haaa wa Allaahul must'an/And to Allaah the aid is sought.... Sicheki kwa mazuri ama dharau, lakini maneno yako yamenistaajabisha kiduchu,niwie radhi kwa hilo tafadhari mkuu. Huu mlango uloufungua mara hii ndio ule niloufunga mwisho mwa ile post yangu ilopita. Amma hiyo kauli "And...
  14. ibn uthman

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Hahaha ha ha ha Wallaahul musta'an/and to Allaah the aid is sought, nimesheka hapo kwenye kauli yako ya mwisho ya siku ya kutoa ushuhuda.Na ile ya kunibadilisha,Namuomba Mwenyezi nisiweze badilika na anikithirishie ilimu,basira, iiman, subira na juhudi ktk kuuteleza uislamu wangu kwa usahihi...
  15. ibn uthman

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Mkuu habari yako, Kwanza natanguliza masikitiko makubwa kama manadamu pia kama muislam dhidi ya matedo hayo maovu kabisa yasokubaliwa na jamii wala tamaduni yoyote ile iwayo limwenguni.Lakini pia nimehuzunika na maneno makali dhidi ya uislam uloyasema ingawa sikulaum sana ati kwakuwa hao waovu...
Back
Top Bottom