Recent content by ibengwe11

  1. I

    Serikali/ mamlaka husika saidieni vijana wetu walioko chuo cha Saint Francis Morogoro

    kwa mjibu wa ratiba chuo kinafunguliwa tarehe 6/10/2014siku ya jumatatu sasa hii ya kufanya usajiri siku za weekend sijajuwa
  2. I

    Serikali/ mamlaka husika saidieni vijana wetu walioko chuo cha Saint Francis Morogoro

    mbaya zaidi taarifa zinatolewa ndani ya wiki mbili,wanafunzi wakiwa wako rikizo na sasa wanatakiwa kuwasiri na kwenda kijusajiri jumamosi na jumapili na atakayekuja badala ya hizo siku aende la laki moja kama faini ya kuchelewa kweli ndugu zangu ni Tanzania hii?
  3. I

    Serikali/ mamlaka husika saidieni vijana wetu walioko chuo cha Saint Francis Morogoro

    kwa kweli nimeona kuna utitiri wa malipo ambayo kama mzazi/mlezi unashindwa kuamini ni nn hiki mtu unajiuliza ni kwa nn watu wanajiamulia tu na mambo yanaenda kana kwamba nchi yetu haina viongozi wa kuyakemea haya
  4. I

    Serikali/ mamlaka husika saidieni vijana wetu walioko chuo cha Saint Francis Morogoro

    Naiomba serikali na mamlaka husika kusitisha upandishwaji holela wa ada ambao naamini haukufuata utaratibu unaofanywa na chuo hiki cha udaktari kilichopo Ifakara Morogoro, ni mwaka juzi tu chuo hiki kilipandisha ada na sasa vijana wetu wanaambia ada imepanda tena kwa takribani milioni mbili...
  5. I

    Ndugu zangu tanroads tunaomba mtuwekee taa africana mbezi ajali kila siku tunawaomba.

    kweli ndugu imekuwa kila siku ni mtu kukoswakoswa au kugongwa sasa raha ya barabara iko wapi kama unaowatengenezea kila uchao wanapukutika
  6. I

    Ndugu zangu tanroads tunaomba mtuwekee taa africana mbezi ajali kila siku tunawaomba.

    Hii sehemu tajwa {AFRICANA BARABARA YA MWENGE TEGETA} imekuwa ni machinjio ya binadamu na magari yao tunawaomba wahusika mlione hili na mlifanyie kazi ili kuokoa raia wa nchi hii. siwafundishi kazi lakini naomba mje mpaone jinsi magari yanavyosongamana wakati wa kupita pale.
  7. I

    Katiba Mpya:Humphrey Polepole Live Chanel Ten

    mm nadhani jina sahihi la hii katiba inayopendekezwa inafaa kuitwa Katiba ya CCM.
  8. I

    Hata bunge la jamhuri nalo pia lingeendeshwa kwa njia ya mtandao

    Naona utaratibu huu uliopendekezwa na wajumbe wa Bunge la katiba unaowawezesha wajumbe kupiga kura au kutoa maoni yao kwa njia ya ki-electronic pia wange utumia kutoa michango yao mara bunge la budget linapokuwa linaanza ili wabunge wakae mtajimboni kwao na wachangie kutoka huko waliko ili...
  9. I

    GE2015 Ni vigumu sana kupata Rais mwenye sifa bora 2015

    awe amewahi kushiriki big brother africa,
  10. I

    Umoja wa vijana wazalendo wa vyuo vya elimu ya juu Dar walaani kauli za mwenyekiti CHADEMA

    tatizo lao ni utapia akili, kwann wanashindwa kukemea ufisadi mkubwa ndani ya nchi
  11. I

    Baada ya kazi nzuri: SMS yangu kwa IGP Mangu, na CP Chagonja leo mchana

    onyesheni pia ukomavu wenu wa akili ktk mambo makubwa ya kifisadi yanayoendelea ndani ya hii nchi.
  12. I

    Mwandishi wa habari wa ITV/ Radio 1 azimia kwa kipigo cha polisi

    go through Ivan Pavlov experiments, u will get to know why is it so.
  13. I

    Sitta ashukiwa kama mwewe (wajumbe walio nje ya bunge watapiga kura!)

    hata wafungwa nao nadhani sasa waruhusiwe kupiga kura chaguzi zote.itakuwa ni kukua kwa demokrasia
  14. I

    Kiwanja chenye msingi wa nyumba ya kisasa Goba mwisho kinauzwa

    Wapo binadamu wanaishi na pengine wanaishi maisha mazuri kushinda hata ww, na wanaendesha shughuri zao kama kawaida. Tatizo la kukariri mambo ni cancer mbaya sana
Back
Top Bottom