Recent content by Iam me empire

  1. Iam me empire

    Uaminifu ni chanzo cha mafanikio

    Ukipata mafanikio kwa uaminifu wako unaweza kutumia ayo mafanikio bila kuwa na uwasiwasi na hofu
  2. Iam me empire

    Uaminifu ni chanzo cha mafanikio

    Kwa namna moja ni kweli iyo inatokana na vitendo ambayo uyu mtu amefanya au historia yake, kuamini kitu au mtu inaweza kufanya kazi kwa ufasaha na kuleta mafanikio
  3. Iam me empire

    Uaminifu ni chanzo cha mafanikio

    Iyo inaonesha kuwa kuna watu watumia njia sahihi na wengine wanatumia njia isiyo sahihi kupata mafanikio
  4. Iam me empire

    Uaminifu ni chanzo cha mafanikio

    Undugu unaweza kuleta mafanikio kama wote mtakuwa na lengo moja na kuaminiana
  5. Iam me empire

    Uaminifu ni chanzo cha mafanikio

    Mfalme alipoona umri umeenda aliamua kutafuta mtu wa kumrithisha Ufalme wake. Mfalme alikusanya vijana 10 na akawaambia atawapa mtihani yule atakae faulu ndiyo atakuwa mrithi wake. Mfalme aliwapa vijana hao mbegu za mahindi na akawaambia kila mmoja aende nazo nyumbani akazioteshe, akawapa muda...
Back
Top Bottom