Recent content by I-NGOSHA

  1. I-NGOSHA

    Faida zipi hasa ambazo ni muhimu sana kiasi kwamba mwanaume ni lazima aoe?

    Soma hichi kitabu cha Don Miguel (The Mastery of Love) Kabla ya kusoma The Mastery of love, soma kwanza (The Fifth Agreements)
  2. I-NGOSHA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera sana, yule mwanao usser naona yeye kapotea kabisa
  3. I-NGOSHA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu ilunaangalia mechi kwenye Tv au kwenye livescore
  4. I-NGOSHA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mzee una hatari Odds milioni 400
  5. I-NGOSHA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu mbona unalalamika kama anakutumia Inbox, hapa kuna watu wengi kama wewe hazikusaidii wengine zinatusaidia. Hasira za kuliwa usizihamishie kwa Pdidy
  6. I-NGOSHA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Weekend sio siku za kazi! Mpigie siku za kazi na mida rasmi ya kazi.
  7. I-NGOSHA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mwanzoni mwa msimu alisema asipoingia top four anaachia ngazi, katimiza ahadi yake. Ila haondoki Arsenal, atakuwa kwenye nafasi nyingine ya uongozi.
  8. I-NGOSHA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    yah naona O2.5 inaenda kutoka
  9. I-NGOSHA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    faida ya 50,000 kwa mtaji wa laki tatu? Maaaan your kidding
  10. I-NGOSHA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Walivyokua wapuuzi wamekuja kupiga kona yao moja dk ya 93 na kuharibu biashara
  11. I-NGOSHA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    BET LOST Ndani ya dk 60 wamepiga kona 3, ndani ya dk 15 wamepiga kona 4
Back
Top Bottom