Recent content by i lead tanzania

  1. i lead tanzania

    I lead Tanzania, i will be the change

    Tukitaka kubadilisha chochote ni sisi wenyewe kusimama,na sio kila siku kulalamika. Mwongozo wa kwanza ni tuache ushabiki wa vyama vya siasa na tusimame pamoja kusaidiana sisi wenyewe. Amka kijana, tuiongoze nchi yetu.
  2. i lead tanzania

    I lead Tanzania, i will be the change

    I LEAD TANZANIA, Inataka wewe kuacha kunyoosha vidole ukizungumza na kuwalaumu wengine. Badala yake, inakusukuma wewe kusimama na kuhesabiwa. Kwa mara moja katika maisha yako, kuwa mabadiliko unayotaka kuona katika mazingira inayo kuzunguka wewe. wacha kuzungumza kwa nadharia. Acha kulaumu...
  3. i lead tanzania

    TUWACHAGUE SISI ALAFU SISI TUWE WATUMWA wao...

    Watanzania wenye hali ya chini....akiwepo mimi na wewe.
  4. i lead tanzania

    TUWACHAGUE SISI ALAFU SISI TUWE WATUMWA wao...

    wote,hakuna mwenye nafuu.
  5. i lead tanzania

    TUWACHAGUE SISI ALAFU SISI TUWE WATUMWA wao...

    kijana jitambue, ni sisi ndio tunasimama kwenye vituo vya kupiga kura,wao wanazunguka katika magari,na wakija kupiga kura wanapishwa ni sisi ndio tunapigwa virungu na mabomu na maaskari,wao wanalindwa na kutolewa katika vurugu hizo. ni sisi ndio tunalipa kodi,wao wanapanga matumizi yake, ni...
  6. i lead tanzania

    Vijana tubadilike

    ninajitambua vizuri ndio maana nikakwambia vijana tusimame wenyewe na sio mpaka tushinikizwe na vyama vya siasa, serikali ni yetu sote,na wala sio ya ccm wala chadema.
  7. i lead tanzania

    Vijana tubadilike

    siasa ndio chanzo cha vita,kwani inamtengeneza mwananchi kujitenga kutokana na itikadi za chama,kila mmoja anavutia upande wake hali ya kuwa sisi wote wamoja. kwanini wanasiasa wasitutumikie sisi,na sio sisi kuwatumikia wao? ni mawazo tu ni kiwa kama kijana mwenzio.
  8. i lead tanzania

    Vijana tubadilike

    siasa ndio chanzo cha vita,kwani inamtengeneza mwananchi kujitenga kutokana na itikadi za chama,kila mmoja anavutia upande wake hali ya kuwa sisi wote wamoja. kwanini wanasiasa wasitutumikie sisi,na sio sisi kuwatumikia wao? ni mawazo tu ni kiwa kama kijana mwenzio.
  9. i lead tanzania

    Vijana tubadilike

    kama sera zote za nchi zinatungwa na wanasiasa basi mimi na wewe hatuna haki na nchi,kwanini hatujahushishwa katika sera hizo?
  10. i lead tanzania

    Vijana tubadilike

    Napenda kujibu threads kama ifuatavyo! 1. Sera nying za ajira hupitiswa na wanasiasa je tusipowachagua waaminifu mambo yatakuwaje ( ni yupi mwanasiasa aliye mwaminifu na mwadilifu? mwananchi mzalendo ni yule anayewajulia hali jamii inayomzunguka kila siku na kwa wale walio na shida...
  11. i lead tanzania

    Vijana tubadilike

    kwa hiyo na sisi wote tuwe washabiki ili nasi tupate hizo kazi? nadhani hiyo sio sawa, tusimame pamoja na kuteteana katika njia ya haki, hatuwezi kuajiriwa wote,muhimu kujituma na kujiajiri katika sehemu zilizowekwa na serikali,na kama hawajatenga, tudai haki tutengewe sehemu za biashara...
  12. i lead tanzania

    Vijana tubadilike

    Naweza kusema kuna suala kubwa vijana wamejisahau nayo ni kwamba, unamfanyia campaign mwanasiasa ili yeye apate kazi wakati mwenzangu na mimi kila siku tunalia hatuna kazi, hakuna mwanasiasa yeyote atakaye kulatea kazi na msaada wowote iwe, ccm,cdm,cuf na hata wengineo. hivi tuseme ukweli hata...
  13. i lead tanzania

    Uovu mkubwa CHADEMA, ni kuhusu vyanzo vya mapato!

    Naweza kusema kuna suala kubwa vijana wamesahau nayo ni kwamba, unamfanyia campaign mwanasiasa ili yeye apate kazi wakati mwenzangu na mimi kila siku tunalia hatuna kazi, hakuna mwanasiasa yeyote atakaye kulatea kazi na msaada wowote iwe, ccm,cdm,cuf na hata wengineo. hivi tuseme ukweli hata...
Back
Top Bottom