TANESCO, kuna taarifa za mita kuungua na watu wenu wa dharura walishafika eneo la tukio lakini kitengo cha mita hakijatoa huduma yapata masaa tisa tangu taarifa itolewe.
TANESCO Naomba kujulishwa upatikanaji wa mita na kufungiwa ni huduma inayochukua masaa mangapi ili kuchukua tahadhari za...
Mfano mwingine wa utatu mtakatifu Kwa ufafanuzi wa kibinadam tunaweza chukulia mfano
1. boss (Manager) akiwa ofisini, atafanya shughuli za kuongoza uzalishaji na kuitwa boss au CEO na watendaji wake.
2. Huyo huyo boss ana mke anayemwita mume na kutekeleza majukumu yake nyumbani Kwa mkewe
3. Huyo...
Ingia kwenye maombi ya kufunga na kutoa sadaka ukimuomba Mungu aingilie kati hili jambo ili kukupatia Amani, amini nakwambia jibu litapatikana pasipo nguvu ya kibinadamu, Yeremia 33:3 Mungu anasema “mniite nami nitaitika, nitawaonyesha mambo Makubwa na Magumu msiyoyajua”
-Kama kuna upepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.