Recent content by hwasa

  1. hwasa

    JamiiForums Mpenzi wangu amenizuia kwenda kwake, naombeni ushauri

    Asante kwa ushauri
  2. hwasa

    JamiiForums Mpenzi wangu amenizuia kwenda kwake, naombeni ushauri

    Anaishi na dada yake nasipendi kuzungumza kwa dada yem kinachoendelea
  3. hwasa

    JamiiForums Mpenzi wangu amenizuia kwenda kwake, naombeni ushauri

    Jamani hivi mnasoma kweli? Nimesema mm mwanamke
  4. hwasa

    JamiiForums Mpenzi wangu amenizuia kwenda kwake, naombeni ushauri

    Hahaha pole ndugu yangu
  5. hwasa

    JamiiForums Mpenzi wangu amenizuia kwenda kwake, naombeni ushauri

    Hatujawahi kuishi wote yeye anakwake na mm ninakwangu anakujaga na mimi naendaga kwake natumeishi hivyo huu mwaka wa 3
  6. hwasa

    JamiiForums Mpenzi wangu amenizuia kwenda kwake, naombeni ushauri

    Ndio nasubiri na mm
  7. hwasa

    JamiiForums Mpenzi wangu amenizuia kwenda kwake, naombeni ushauri

    Kwakweli hata mm nimeshaanza kujiuliza
  8. hwasa

    JamiiForums Mpenzi wangu amenizuia kwenda kwake, naombeni ushauri

    Mimi mwanamke yeye ndio atakuwa anaoa
  9. hwasa

    JamiiForums Mpenzi wangu amenizuia kwenda kwake, naombeni ushauri

    Mnaweza mkaua [emoji1787]
  10. hwasa

    JamiiForums Mpenzi wangu amenizuia kwenda kwake, naombeni ushauri

    Mimi ni mwanamke mchumba wangu ameanza likizo ya wiki mbili tukakubaliana aje nyumbani kwangu, alikuja kwangu siku ya Jumatano, ilipofika Ijumaa asubuhi akasema anaenda kuhakiki baadhi ya nyaraka, tukatoka wote siku hiyo. Nilienda kwenye biashara zangu tukakubaliana jioni niende nyumbani kwake...
Back
Top Bottom