According to report kifua hakikuwa na tatizo japo kwenye findings moyo ulikuwa normal lakini alitakiwa akafanye kipimo cha ECHO na ECG. "Inna alillahi wa inna illahi raa'jiuun" .
Ni mmiliki wa chombo husika.
Nipo Tanzania.
Yeah nilishaonana na baadhi wa wamiliki wengine lakini Walituambia hilo suala linashughulikiwa kwa hiyo tusubiri.
Mzigo hauna tatizo endapo kama kuna documentations ambazo madriver walipewa wote kuonyesha ni mzigo halali.
Wamiliki wa mzigo ni wachina.
Yeah kwa sababu document zote zipo halali, but wao wanasema magari yaliyotoka Congo yanaonekana yamepakia magogo kutoka Congo lakini document zinaonyesha mzigo umepakiliwa zambia.
A'aleykum!
Hivi serikali imefikia wapi kuhusiana na magari ya mizigo ya kitanzania yaliyokamatwa mpakani mwa Zambia na Tanzania (border). Kwa sababu serikali iliahidi itatoa majibu ndani ya masaa 72 lakini toka walivyosema hivyo hatukupewa majibu baada ya hayo masaa 72 kufika badala yake imekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.